My trip to Russia

Nenda:
  • Bahamas
  • Marbella - Spain
  • Mauritius
  • Bali
  • Malibu
  • Miami
  • Barbados
  • Morroco
  • Cape Town
  • Copa Cabbana
  • Ipanema
  • Sao Paulo
  • Malta
  • Monaco
  • Dubai
  • Basi hata hapo zanzibar

Ila kwa russia sikuungi mkono hata kidogo
Thanks for advise lakini nmekutamani Urusi.cjawahi toka nje ya Africa I think it will be my first country abroad of Africa.
 
Mkuu unaishi Russia?
 
Thanks for advise
lakini nmekutamani Urusi.cjawahi toka nje ya Africa I think it will be
my first country abroad of Africa.

Uzuri wa Russia ni wanawake wao, fika S.t. Petersburg, utatamani usirudi coz utagombaniwa ila uende na helmet ya chuma na usipende kutembea usiku peke yako.
 
Kama leisure nenda Thailand,hakika utatamani uhamie huko
 

Wewe Ni Muongo!

 
Angalie tu usiende manila Philippines utaishia kuwa 'walinazi' manake kule wamejaa wengi sana.
 
huyu sio yule aliyesema anataka safiri border to border hadi Ghana akawa anawaambia watu wana minyoo? au nhs atakuwa matipo yake!
 
Wewe unanijua mimi ni nani?Tunafahamiana?ushawahi kuniona.Mimi ckujui sasa kwa nini unaniita muongo.Hem angalia heshma yako.thanks

Sikujui lakini Dhamiri yangu inaniambia Hivyo Kwamba Wewe Ni Muongo!

 
huyu sio yule aliyesema anataka safiri border to border hadi Ghana akawa anawaambia watu wana minyoo? au nhs atakuwa matipo yake!

Hapana!! Hawezi kuwa huyu bwana, yule alikuwa ama minyoo kama tuhuma zake kwa wengine. Huyu ana uungwana na ustaarabu wa kutosha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…