My top five diss tracks of all time

My top five diss tracks of all time

hivi 300 bars and still runnin na original 100 miles and runnin ya NWA ipi diss track kali?
for me original ya NWA kali kuanzia mistari ya vitisho hadi video
halafu we mosDef hujui kwa nini tunasema hit em up ni kali
pac took biggie's own beat and turned it on him
rhymes na jinsi walivyonata na beat ilikuwa superb

Still think 300 bars and runnin is miles better..

yeah, got your point on Hit em up, but kwangu mimi No vaseline/Gs/Dollarz n' sense/300bars/Ether zilikuwa zimebeba realism ya kutosha na lyrical references zenye kuleta maana zaidi.

to this date, nitaendelea kuamini kuwa Against all odds, is pac's best diss record. the most slept on diss track kwenye hip hop community.
 
nishaelezea sababu zangu hapo juu wakati nalist my top five best diss records.
Sina sababu ya kutoa sababu juu ya ninachokiamini mkuu, hata nikukueleza sababu hutokubali
 
Mos kuna watu huwezi kuwabadilisha kuhusu wanavyoamini ktk muziki hata ufanyeje. Nakumbuka kipindi Rick Ross ana hit jamaa yangu alikuwa akimsikia ana mtoa anaweka anything old. Anasema hajui while wengine kwa kipindi kile wangependa kumsikia sana
ndio raha ya mziki hiyo
 
diss track ya Eminem to ja rule
Kill shot by Eminem
Ether by nas
No Vaseline - hi huwa nacheka Sana.
Land lord by Sarkodie to nasty c
No big deal by nasty c.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom