MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Recently kumekuwepo na mfumuko wa Diss Tracks nyingi sana kwenye game ya Hip-Hop, but Diss tracks ambazo zimeweza kupata umaarufu mkubwa sana kwasasa ni Diss record ya Drake kwenda kwa Meek Mill (back 2 back), Remy Ma's Shether, and now we have The story of Adidon, Pusha Ts diss record kwenda kwa Drake.
Well, new cats are labeling these diss records as one of the top diss tracks kwenye game ya Hip-hop, and they can be right kulingana na uwezo wa fikra zao na jinsi ya kuchanganua the basis of a diss track, na above all kila mtu ana mtazamo wake katika Music, hasa linapokuja suala la HIP-HOP music. but to me, these Diss records are so soft.
I am not that Old, kusema kuwa nilikuwepo when Kool Herc, Jay master Jay, BDK, Run DMC, Rakim, One, Kool G rap etc were pioneering the art of Hip hop music to the world, but i've been a fan of this genre for so long na ninapenda kila kitu kinachohusiana na hip hop.
So i'd like to share with you guys my Top five diss tracks of all time kwenye game ya Hip-hop. na kwenye kuchagua hizi diss tracks, nimeangalia zaidi the Facts, directness, Crafts, references, realism, essence of battle rap, and lastly the influence/impact of these diss records kwenye game ya hip hop kiujumla.
1. No vaseline - Ice Cube
2. Real Mutha**** Gs - Easy E
3. Dollarz and Sense - Dj Quick
4. 300 bars and Runnin - The Game
5. Ether - Nas
Ni ukweli kuwa Kuna Diss tracks kali na nyingi sana kwenye game ya Hip-hop, but kila mtu anaweza kupima ubora wa diss track kulingana na uelewa wake unaofanya hiyo diss track iwe bora zaidi kwake. and kwa upande wangu FIVE DISS RECORDS nilizo zitaja hapo juu ndiyo bora kabisa kwenye game ya Hip-Hop.
za kwako ni zipi? please share.