beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Nimekukumbuka my shemeji wangu yani nimelala mekuota umenimis mnoo nkaenda kwa maalimu nikisaidiwa na my ex Judgement kaka yako basi akatafasiri ndoto yangu akasema Naam ni ukweli shemejio kakukosa(miss) na kukukumbuka. Basi kama kawaida ta mie huyu Beibe Nasty sina hiyana mie nkasema hata lazma nikutafute shem wa ubani.....jamani afu msalimu na Black Woman n Arusha One.
NB. Erick B52 ni shemeji tuuu hakuna kuzima taa hapa....
NB. Erick B52 ni shemeji tuuu hakuna kuzima taa hapa....