My shem Erick B52!!!!!!!

My shem Erick B52!!!!!!!

Ndo nawatazama hapa na hii tindikali yao hiyoo huyo kimwana atajuuta... Wakilowesha tuu..... Watapuliza hadi pakaukee kauu
 
ndo maana mi nakupenda sana my mume.... Mmwwaaaaaaa!!!!!!

Haya twende tukakaaribu reception na tindikali!!!!!

Lady doctor hata huku mi naiuza yani mtaani hapa yan watu kama akina Bishanga,Rutashobolwa Mr Rocky..wakileta ngebe tuu ninao mbona ninakidumu kama cha mafuta kumbe tindikalii nakod boda boda tuu kazi imekwishaa
 
Huyo umtafutaye kawekwa ndani na kimwana mmoja huko N'twara...eti naye hatoki kama gesi

Dad hata mi nshashtuka huko ntwara kuna mwali wakimakonde kashamficha tena my shem bhaaaa.... Kwalii... Shem rudi jaman af uende tena
 
Jamani shem wangu tangu muachane na bro Judgement umepotea sana aisee...!
Pia nilikumiss sana nikaongea na kaka yako Mentor akanipiga vijembeee nkaamua kukaa kimya.
Vip mzima wewe?
Karibu tena shem wangu beibe nasty
 
Last edited by a moderator:

Mashallah.. Shem looh mi si nilikua kwenye msako wa aliowamwagia wale watu weupe tindikali na aliempiga risas yule shekhe(joking)... Yani mekukumbuka hadi natetemeka
 
Last edited by a moderator:
Jamani my ex wala mi staki kuzima taa na my shemu hapa ni upendoo tuuu wa ubani huyo jaman shemu langu la ukweee... Njoo basi nawewe loooh kukutafuta kooote huku aaaaah usinfanyie mambo ya kidela yakhee bwa shemejiii
Nimekujaaaaaaa
Missed you a lot!
Dah naona kuna watu wanajunguka hapa lol hawajui kuna misemo inasema SHEMEJI KULA KAKA KAHAMIA AIRTEL ( Kwa YNNAH )

Copy kwa Judgement Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
Nenda katete nae mi naenda kuchezea kiwowowo cha Lady doctor then tukutane baadae. Najua we utaishia kuteta ndio maana sihofii...kazi ni huku sasa lol

Ndo kawaje sikuhiz ye mzee wa kuteta tuu.... Haya ngoja atete watu wafanya kweli huku.... Arushaone mambo yapo huku we katete tuu
 
Last edited by a moderator:
Nimekujaaaaaaa
Missed you a lot!
Dah naona kuna watu wanajunguka hapa lol hawajui kuna misemo inasema SHEMEJI KULA KAKA KAHAMIA AIRTEL ( Kwa YNNAH )

Copy kwa Judgement Lady doctor

Teeeena..... Hahaha wanalo hilo au wanajaribu kusema ya kumoyooo... Shem tulia nikupe kitu roho inapenda mskutaka na sio unachokipata..... Heheeee hapo chacha macho yalivowatoka ka mjusi katikati ya mlango..😱
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor hata huku mi naiuza yani mtaani hapa yan watu kama akina Bishanga,Rutashobolwa Mr Rocky..wakileta ngebe tuu ninao mbona ninakidumu kama cha mafuta kumbe tindikalii nakod boda boda tuu kazi imekwishaa

usiishie kuuza tu mamito, ngoja nikupe kazi ukakamwagie kabisa.....! Kuna zawadi nono ntakupa
 
Nenda katete nae mi naenda kuchezea kiwowowo cha Lady doctor then tukutane baadae. Najua we utaishia kuteta ndio maana sihofii...kazi ni huku sasa lol

we eriki tabia ya kutaka kumchezea dada yako imeanza lini????? Nitakuchapaa...!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom