My shem Erick B52!!!!!!!

My shem Erick B52!!!!!!!

Kuna jamaa anajiita DJ Afro huwa anabonga sana kwenye mikanda (DVDs) na ni mkenya ndo nimemfananisha nawe!!
Akiniita 'dia' kinaumana kwako?

Hahaaa sijui ndo huyo kuna siku dogo kaweka mkanda sa mi nipo chumban ghafla nasikia sauti ya mkenya anatafsiri muvi lalalaaaa wazimu tena saana alinkera nkasema huyu so heri akalime yani aliniboa nilitaman nimwambie we dogo hebu zima tv ila ikabid nimuachie ajipe raha.hahaha so ndo wamfananisha na my shem wangu hahahaaaaa sikubaliii atiii ..what: shemu hebbu ukuje
 
Mokoyo wee haya ngoja nitoe machi hatuwez jua ya mbeleni hehehe
 
Back
Top Bottom