Qui quiii quiiii SHIEKA mbona unakatizq mautamu!?
sitii neno nasema
mautamu nakusubiria kule loh
Hebu ngoja nichepuke kuna habari njema nini?
Asante kipenzi cha wanaume wa jf!
Mtani mbona bilabila kule?njoo fasta kuna mtu anatafuta mume haraka
Umefanya mapigo ya moyo wangu yaende mbio!
Umefanya mapigo ya moyo wangu yaende mbio!
Kabla haujafa kabisa naomba mahari ya miss chagga kabisa...
hahahaha......mkuu endeleza filamu
Honey Faith, mahari hupokelewa na watu maalum wenye uhusiano wa damu na msichana. Wewe ni nani kwa miss chagga kudai mahari?Kabla haujafa kabisa naomba mahari ya miss chagga kabisa...