It is sad to see that our Nation delays to decree internationally that we Tanzania are completely against homosexual marriage. We have delayed to commit laws and decree before the World that we are standing against on this stupid act. I have read that our President was asked on CNN, last week, concerning our standing firm on homosexual marriage, as a nation, but very sad he refused to give answers on that issue. Why are we feeling ashamed to stand against this dirty matter? Are we ready to trade off our humanity with Aids from America?
Viongozi wetu lazima watutambulishe watanzania duniani, kua hatuko tayari kwa uchafu huu. Kabisa. Wasipepese macho, ni bora sana kuikosa misaada hiyo lakini msimamo wa utu wetu juu ya uchafu huu, ukawa wazi kabisa mbele ya Dunia. Ndio, Dunia ijue kabisa, Tanzania wanaume hawaolewi! Tanzania wameweka wazi kabisa bila haya, hakuna ndoa za jinsia moja. Kama kuna Mmarekani anataka kuoa mwamaume basi ajue hatampata hapa Tanzania. Kabisa. Taifa kupitia mkuu wa Nchi, tuweke wazi msimamo wetu kimataifa.
Credits to President Goodluck Jonathan of Nigeria, who apart from threats from western, he signed a bill that homosexual marriage is strictly an illegal act, and now its a law. Credits to President Musseven of Uganda, who apart from President Obama to threat on reducing aids and diplomatic relationship between the two nations, Musseven also have decreed to sign on a bill than homosexual marriage is illegal act. Heshima kwake Rais Mugabe wa Zimbabwe kwa kuweka wazi mapema kabisa msimamo wa taifa lake kua kamwe Zimbabwe haitafanya uchafu ambao mbwa na nguruwe hawafanyi
where is my Nation declaration on this despicable matter?
I salute President Museven for taking a radical stance .
It's even offensive kujaribu kutoa wazo kwa nchi nyingine bila kujali tamaduni,imaani na uhuru wa nchi kujiamulia na kujitungia sheria zake
Nasizitiza sio haki za binadamu kuhalalisha ndoa za jinsia moja
Vitisho vya kuvunja uhusiano wa kidiplomasia ni ujinga mtupu.Mahusiano yetu na mataifa mengine hayakujengwa juu ya misingi ya ushoga/usagaji.
Tabia hizi ni tabia chafu ambazo mtu hujifunza.Hukuna vinasaba vinavyomsababishia mtu ulemavu na kuwa na tabia hizo .Hakuna
Hao sio minority wala community inayotakiwa kuwa protected na kupewa haki kisheria.Ni ushetani mtupu
Sheria kali zitungwe kukomesha tabia hii chafu ambayo hata wanyama wanaionea aibu
Mataifa ya magharibi kama wanauchungu sana na watu hawa basi wawachukue wakaishi nao huko wawape social asylum.
Afrika tutumie raslimali zeru tuache kuomba omba kwa masharti ya udhalilishaji haya
Yahya Jameh wa Gambia,Museven wa Uganda,Goodluck Jonathan wa Nigeria,Robert Mugabe wa Zimbabwe wameonyesha msimamo wa wazi
Mack Sally wa Senegal yeye alimuambia kabisa Obama akiwa Senegal ni marufuku ndoa za jinsia moja kwa mujibu wa sheria na tamaduni za Senegal
JK kashindwa kutoa msimamo wake alipohojiwa CNN
Unaomba msaada na kukubali kudhalikishwa.Mijitu inatumia raslimali vibaya taifa zima linadhalilishwa
Kuna wakati natamani niachane na harakati za mapinduzi kwa sanduku la kura ambazo wanaiba nitumie njia nyingine harsh and drastic to topple these bunch of Cowards ! ! !
I really hate it with passion ! ! ! Aargh!