My Open Letter to Eric Shigongo

Acheni
Acheni huu upumbavu wa sisi etc etc...Hilo tamko ya EU yana tofautiana vipi na waraka wa maaskofu KKKT au TEC?

Njaa zenu na na tamaa zenu za muda mfupi zisituharibie nchi
 
Naona wewe ulikuwa umekufa umefufuka juzi,asiyependa kupokea maoni ni Magufuli ndo maana anaua wanaomkosoa kama una akili timamu itisha press conference ya kumkosoa uone kama utarudi nyumbani,ila anachokitaka magufuli atakipata tu
 
Hata shetani anaijua Biblia,tafuta jingine.
 
Naona wewe ulikuwa umekufa umefufuka juzi,asiyependa kupokea maoni ni Magufuli ndo maana anaua wanaomkosoa kama una akili timamu itisha press conference ya kumkosoa uone kama utarudi nyumbani,ila anachokitaka magufuli atakipata tu
Hata nyie mpo kama yeye, hivyo ni makosa kumlaumu
 
wacha kuleta habari ya kufikirika
Siku hizi mtu hata akitekwa kwa kuchukua mke wa mtu mnalaumu serikali
Kuna mwandishi wa The Guardian alilewa chakali akapoteza mawasiliano mkewe akadai katekwa,ma tanapa humu mkaunga tela kulaani serikali,kesho yake amekutwa kajinyea kwa pombe
Magufuli mpaka sasa ana mikonosafi kulinganisha na wenzie waliopita
Mkapa alidondosha mtu 29 pemba
Kikwete kadondosha sana watu wengine walimwagiwa tindikali,kutobolewa macho na kung'olewa kucha na kuuawa,kwa Dr Mvungi
Magufuli hajaua wala kutesa ni tuhuma za kufikirika,hao waliokufa zama za mkapa na kikwete wangekufa zama hizi bavicha mngetembea uchi
 
Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
siku utakapokuja kutekwa na kuuawa kama Mawazo usije ukasahau kusema maneno haya, kutekwa na kuuawa kwako yawe ni matukio ya kawaida tu kwako,kwa kuwa na mahali pengine yanatokea.
 
Hivi kwenye Gesi sisi tumepata Nini?
 
Mmmmmh
 
Yaani wewe unataka shigongo asimamie matakwa yako na hisia zenu na hao mabeberu wenu. Kawaambie hivi tumeamua kusimama wenyewe. Kenya chini ya Mwai Kibaki walipoamua kusimama walipata taabu lakini waliweza.Na sisi chini ya JPM tutasimama na tutaweza. Ushoga haukubaliki. Wao waje kutalii mbuga za wanyama tu, swala la ushoga halina nafasi.
 
yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
hili lipi? hivi umesoma nondo za EU? wametoa zaidi ya point 15 lakini cha kushangaza watu msiokuwa na akili mmekomalia la ushoga na kuachana na pointi nyingine 14. jibuni hizo hoja 14 acheni kujificha kwenye kichaka cha ushoga
 
Mkuu taratibu
 
Kwanza unapotumia neno nondo, tauari waelewa tunatambua wewe ni suruali nusu tako.
Si mmoja wa watanzania tunaojitambua maana tayari unaongea uhuni.
 
siku utakapokuja kutekwa na kuuawa kama Mawazo usije ukasahau kusema maneno haya, kutekwa na kuuawa kwako yawe ni matukio ya kawaida tu kwako,kwa kuwa na mahali pengine yanatokea.
Kwani akisaport ujinga wenu ndio mtamuwekea walinzi dhidi ya majambazi?
 
Kudos, Erick anacheza siasa za tumbo na ukanda na kama angekuwa hajalipwa madeni yake angekaa kimya, tumpuuze kwa sababu kibano cha.wakubwa kikikolea hatabaki salama hata kidogo!
 
Shigongo anaangalia tenda ya kupiga Pesa za uchapishaji 2020 MTU anaye jali Pesa hata Kwa kuharibu jamii na vijarida vyake vya udaku hana tofauti gani na msiba anayeandika chochote maadamu tu asife njaa.
Halafu asipolipwa anaanza kulia lia eti kamfuata katibu WA CCM mara hapokei simu acha ajipendekeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…