My Open Letter to Eric Shigongo

Tutasimama kumtoa madarakani,mwizi Dikteta uchwara huyo,hao wachina ndo wana free lunch?
 
yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
Tena mimi naongezea,hawa watu wanataka kutufanya watanzania wote ni mazuzu.
Lakini tuwaeleze wajuwe kwamba, wao hao wanaojidai kuishukuru EU na Us. Ndio hao hao wanaopika majungu na visa kisha wanavipeleka huko kwa mabwana zao.

Tunaelewa yote hii inatokana na serikali kubana mianya na mirija yao yote waliyokuwa wakitumia kujinufaisha wao na familia zao pamoja na washirika wao, ambao kwa hii awamu yatano wamewekwa pembeni.

Tunajuwa wanaiona 2020 ikikaribia, huku wananchi wakishuhudia kazi kubwa ya JPM na wao wakiwa hawajakusanya hela za kampeni chafu, kama walivyokuwa wamezowea.
Lakini waelewe sisi wananchi tuna macho pia.
Na tunajuwa 2020 kura zetu tunampa JPM amalizie kazi.
Hawa vibaraka wa ushoga shauri yao.

HIVI HAWAJUI LUMUMBA ALIUWAWA NA WABELGIJI HAO HAO AMBAO LEO, ETI WANAONEKANA KWA CHADEMA KAMA MARAFIKI WA UKWELI??
Yote ikiwa ni shauri ya kuwapinga kwa kupora maliasili za Congo.
Wakamuuwa kwa kusaidiwa na US.
Saa ingine msome historia namjitambuwe utu wenu kabla ya kujitoa akili.

Shame on all of you wana mkakati EU.
Tunawajua na tunawaona.
Mungu ibariki Africa na Tanzania kwa ujumla, utuepushe na haya manduli machumia tumbo.
Amen.
 
Unanitishia kifo wewe mpumbavu? Staki ustaarabu na muuaji kama wewe, na sitakufa mapema bali utakufa wewe na huyo Dikteta wako na kuniacha nikiwa hai,huna lolote unalojua,kaa kimya wanaume tumjadili Dikteta.
 
@eric shigongo na Pascal Mayalla ni kabila moja na JPm ulitaka wampinge wa kwao.
Hawa wote wanamuogopa kumwambia ukweli ndugu yao madudu anayoyafanya kwenye hili taifa
 
Devils advocates, rais anapambana vita ipi ya uchumi atwambie ile 1.5T iko wapi.

Mashetani yanakufa ila hayamaliziki( one monister die another one come)
 
HapaKaziTu
 
Hakika umenena mh nmeipenda umeongea ukweli mtupu!!!!
 
Hopeless thread!
 
yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
Ni mambo gani hayo usiyomuunga mkono ambayo unataka wengine na EU waunge mkono? Hebu yaainishe hapa...
 
Tutasimama kumtoa madarakani,mwizi Dikteta uchwara huyo,hao wachina ndo wana free lunch?
China they are not influenced by "Ethnocentrism" wanafanya biashara tu na biashara haiingilii tamaduni za nchi huska, Eu wanaitaka tanzania ifute kifungu kinachozuia ushoga kitu ambacho in real sense hakiingii akilini.
 
MTALIA SANA HUYO MNAE MPAKA 2025 NA BAADA YA HUYO ANAMUACHIA KIJANA WAKE MAJALIWA MOTO CHINI KWA CHINI.
Majaliwa huyuhuyu wakupigwa pamoja na shangazi zake?, Majaliwa huyuhuyu wa kushushuliwa hadharani?, au ni Majaliwa mwingine?.

Lakini usifikri kuwa ni watu wote wanapendezwa na kile kinachofanywa na mkuu hata kama wako ndani ya serekali yake, anaweza akamuachia Majaliwa akitegemea kuwa ndiye mtu sahihi wa kuendeleza mambo yake na kutunyoosha,matokeo yake akaja kunyooshwa mwenyewe na Majaliwa.

Kama alivyofanyiwa chiluba aliyekuwa rais wa Zambia ambaye aliona kuwa kumuachia Mwanawasa itakuwa salama kwake na mambo yake yataendelea kuwa salama kinyume na alivyotegemea alitupwa jela,usalama wake ulindwe na kuta za jela.
 
Unanitishia kifo wewe mpumbavu? Staki ustaarabu na muuaji kama wewe, na sitakufa mapema bali utakufa wewe na huyo Dikteta wako na kuniacha nikiwa hai,huna lolote unalojua,kaa kimya wanaume tumjadili Dikteta.
Magufuli atawamaliza hadi sasa hamna hata sera uchaguzi umekaribia hamna hata hela za kampeni mnampa Mbowe atawakamua hadi mashati mnakalia kujadili nguli wa afrika!??? Baba wa taifa wa pili na kioo cha viongozi wote Africa na duniani kwa sasa!!!!

Jiandaeni!!! Mlizoea kupiga kelel mnapewa hela Magufuli nooooo mnahaha kila kona mbuzi nyieeeee teena Magufuli kawawezq kweeli mnadhani nani atawaskia ET UE mtaona sasa unadhani kwenda kuwatembelea ndo nn Tanzania iko imara ni wqchache tu mnajifanya mnajua mtapungua tu
 
@eric shigongo na Pascal Mayalla ni kabila moja na JPm ulitaka wampinge wa kwao.
Hawa wote wanamuogopa kumwambia ukweli ndugu yao madudu anayoyafanya kwenye hili taifa
Unaleta ukabila badala ya kujibu hoja????

Ila unaweza ukawa Sahhi maaana hata Dkt Mashinji hamna akifanyacho Chadema
 
Mimi ya huko mbeleni siyajui ila hii ngondo mnayo mpaka mwaka 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…