george de hero
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 122
- 14
Jamani hawa voda wamenikera kweli..kufuta huduma ya my namba one...nilizoea kuongea na kidem changu cha 4m4 leo cku ya pili tunaishia kupeana hi..tu ..,.hafu..kifuruchi chako kimekwishaaaa...au kuna ofa nyingine kama hii

jiuge tigo basihamia airtel
jiuge tigo basi
rudi airtel nipigie mimi tunetwork yao majanga