''My Number One''

Nakushukuru Mkuu!
Kwa kimombo positions with respect to occupants huelezwa kwa first, second, third etc...na sio one, two, three etc
 
Mkuu ya kweli lakini, weekdays uwekwe bench namba 10 mgongoni and still reffered as no wahedi?

Kweli mkuu, best games zinakuwa kuanzia ijumaa hadi jumapili... na kocha wangu ananipanga!... huwa ananipumzisha weekdays ili niwe fiti kwa weekends! Mi ni namba moja!
 
me sipendagi unafki napenda niitwe majina yangu matatu inatosha kama kweli unanipenda sihitaji sweet names
 
Hahaaaaa, endelea kupiga jeramba ili umentain namba kikosini mzee, maana gharama za usajili zimepanda sana siku izi. Unatupia kama Drogba vile... Lol!!!
Kweli mkuu, best games zinakuwa kuanzia ijumaa hadi jumapili... na kocha wangu ananipanga!... huwa ananipumzisha weekdays ili niwe fiti kwa weekends! Mi ni namba moja!
 
Mkuu kumuita my ZERO, nayo ni kazi.
watu waliotawaliwa na zinaa huona kuwa na wapenzi wengi ni sawa tu. namba kubwa zote huanza na 0 au 1 (wanamahesabu mtanisaidia hapo). kwa sasa mimi nina my zero. Mungu akinijalia nikampata wangu nitakuwa na my only sweetie. teh! teh teh teh!
 
me sipendagi unafki napenda niitwe majina yangu matatu inatosha kama kweli unanipenda sihitaji sweet names

"Mkegani Gendaeka Mwakijambile" mmh.. dushelele inaweza kulala ghafla.
 
Mkuu kumuita my ZERO, nayo ni kazi.

ukiamua haikupi shida saaana kuwa na my zero kuliko kuwa na my number one. inaweza tokea number one akagundua kuna number two......inakuwa shughuli kweli. my zero hana shida.
 
Hahaaaa, Sasa mkuu zero si ndo ataona ni unamuona yeye ni kilaza kabisa. Hahaaa, Kie kie kie!!

Lakini ivi vitu ni subjective sio objective kiivyo.

nitamwelekeza hiyo zero ina maana gani kwetu. naamini ikitokea wadada wakijiuliza maana ya ndani kabisa ya my number one kama ulivyofanya, watahisi insecure muda wote. lakini pengine wanaelekezwa kwa kuongopewa ndo maana hujikia raha sana walisikiapo neno hilo kutoka kwa bf/husbands.
bold: ni kweli mkuu maana binadamu hatufanani ktk mambo mengi
 
Kamili mzee, We ni mmojawapo wa walioelewa hii concept ya N0 1 kwa undani wake. Big up.

Anko wangu mmoja humuita mkewe ''my miss world'' at least inaleta kitu, ila sasa ukimcheki huyo miss world mwenyewe sasa.... ndio unabaki ''beauty is in the eyes of beholder'' any way, My number one haniingii kichwani vizuri kwa wengi wanachofikiria kwamba inakimaanisha iyo no. 1

EHEHEHEHHEHE
best we unataka watu tulie humu!
MOJA NI MOJA KWA MBILI UJUE!
ila kwa KUMI NA MOJA MOJA NI MOJA TUUUU!
kinumerali iko hiv
1 ni 1 kwa 2
but 1 ni 1 kwa 11
sawa enh! watu8 come zis wei kwa ufafanyuzi
mwite na Kaizer au Asprin!
 
Last edited by a moderator:

Seconded!!!!
jina la mtu unayemfeel tamu bana!
ehehehhehehhe kitu cha ...................................... yani unasikia kitu kinaitika tu taratiiiiiiibu mi maswala ya darling sijui honey au d,cha ya nini bana!kandamiza jina la mutu wako!hayo mwengone waachie wanaojifunza kuasign autograph na sticker zake!
 
Hahaaaa, kie kie kieee!!!

Relax best, wa moja ni moja tu havai mbili eeh!

hisabati yangu imegoma kwenye hio numerali, :frusty::frusty:
EHEHEHEHHEHE
best we unataka watu tulie humu!
MOJA NI MOJA KWA MBILI UJUE!
ila kwa KUMI NA MOJA MOJA NI MOJA TUUUU!
kinumerali iko hiv
1 ni 1 kwa 2
but 1 ni 1 kwa 11
sawa enh! watu8 come zis wei kwa ufafanyuzi
mwite na Kaizer au Asprin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…