EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Waambie mods wasiunge uzi wako ukichelewa utaukuta kule vituko mtandaoni
Hizo za juu ungeziweka kila moja na post yake zingependeza zaidi.
Waunganishe ili iweje?Waambie mods wasiunge uzi wako ukichelewa utaukuta kule vituko mtandaoni
Hahaha subiri wakifanya hivyo utawauliza wakupe muongozo
Nilitaka kumwambia the same.Hizo za juu ungeziweka kila moja na post yake zingependeza zaidi.
Mkuu hapa silipwi ujue on contrary natumia MB zangu sina cha kupoteza maana kama unanitisha vile?Hahaha subiri wakifanya hivyo utawauliza wakupe muongozo
Hapana mkuu wewe tupia vitu tufurahi usitishikeMkuu hapa silipwi ujue on contrary natumia MB za sina cha kupoteza maana kama unanitisha vile?
Sent using Jamii Forums mobile app