Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
Hakikisha una shiba vizuri welcom
Sa mbona msosi kidogo hivoView attachment 3424648
Hakikisha una shiba vizuri welcom
Mafuta mafuta, usije lia na kusaga meno siku zijazoView attachment 3424648
Hakikisha una shiba vizuri welcom
Si nakula mwenyewe tuSa mbona msosi kidogo hivo
Nyama pori hiyoMafuta mafuta, usije lia na kusaga meno siku zijazo
Kwahiyo hapo umeshiba vizuri?View attachment 3424648
Hakikisha una shiba vizuri welcom
Kidogo sana aaah au basi nlisahau kama upo daslamSi nakula mwenyewe tu
Andaa Milioni Mbili Mshipa Mmoja wa Damu ukiziba.View attachment 3424648
Hakikisha una shiba vizuri welcom
Na kuvimbiwa juu 😂Kwahiyo hapo umeshiba vizuri?
Ugali sio 😂Haha hapo takula ila sitotosheka
Cc: Team ugali
We una kula kama kesho hakupo?Kidogo sana aaah au basi nlisahau kama upo daslam
Janabi ana wivu uyooAndaa Milioni Mbili Mshipa Mmoja wa Damu ukiziba.
Prof Janabi. JKCI
Zimenikinai nyamaOngeza nyama hiyo imezidiwa na ndizi
Ina pendeza sanaNdo nimetoka kupata ugali dagaa hapa