My Love.

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,033
Zamani nilikuwa mnazi wa movies za Kinigeria, leo katika pekua pekua nikakutana na cd ya My Love. Ni movie ya miaka mingi lakini bado ni nzuri kuiangalia, naamini wapo watu wengi humu wamewahi kuiangalia lakini siyo mbaya kujikumbusha.
 
Unaweza mapenzi ya humo?
Au unajishobokesha tuu
 
Una unga mkono watu tupende kama huyo paul.

Ukiwemo wew una mapenz ya kupenda hvo?
Kuangalia aimaanishi kuunga mkono, naangalia kujiburudisha tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…