My life with grown married men

Pole sana dadaangu hayo ni mambo ya kawaida ktk mapenz ninachoweza kukushauri ni lazma ujue kila binadamu anamapungufu yake sasa ukitaka kumtafuta mr perfect hadi unaingia kaburini hutompata ila nakushauri tafuta truth man hao utawapata pia kuhusu hao wazee ni kawaida kwa wazee au wenye ndoa kutake care mtu wa nje kwani nyinyi hamuishi pamoja sasa kuna hali ya kumisiana fulani ukitaka upate ukweli wa hlo jaribu kumjua mke wake wa ndoa na ufanye upelelezi utagundua mateso anayotapata kwa huyo unayedhani anakucare vzur
 
Iv can u date "a grown man" alafu utegemee kua yuko single!,,,iyo mindset itakutesa sana na ukiendelea kuamin ivyo utazeeka na grown man wako ao,,,,wake up and see the reality
 
kila siku kuna watu wanataka wapenzi humu, wapo single, kwann usiwatafutee??
 
duuuuh tafuta wazeee tu vijana acha tuendelee na rika letu mama
 
Umemuelewa vizuri lakini?

Hapendi kuendelea na hiyo hali anahitaji ushauri wa kuweza kuacha.
 
Kupata mwanamme wa kwako pekee ni majaliwa kama ilivyo kwako kuwa mume atakayekuoa hatakukuta bikra. Hata hivyo siri kubwa ni kumrudia mungu...tubu madhambi yako, tuliza boli na ujisitiri....waoaji watajitokezaa tu..ila halahala usiwe na nyodo za kuchagua saaana...utaula wa chuya!
 
wewe wafaaa kuolewa mke wa2, au na kicheche

seems unapenda sana free time, it comes with a cost! u should choose wisely
 
Vilivyotengenezwa vitamu bwana.
 
Endelea na grown men my dear,don't feel guilty we only live once what matters is your happiness
Hata ukitafuta kijana mkaoana mnaweza divorce huko mbele and you will still end lonely
Hawa watu wazima know the meaning of love vijana wanasumbua sana
 
Watu wazima nao walikuwa vijana. Asitake vya kunyonga. Atulie apate wake amtengeneze na atajua meaning of love that she wants.
 
Kuna nyimbo ya njeje wanaimba 'mama chanja mama chanja'....
naona huyo jamaa alikupeleka sana njenje..

au una mtoto umezaa nae mkamuita chanja?
 
Kuna nyimbo ya njeje wanaimba 'mama chanja mama chanja'....
naona huyo jamaa alikupeleka sana njenje..

au una mtoto umezaa nae mkamuita chanja?

Hahahaa hapana, it's my favorite part kwenye huo wimbo wa njenje
 
I feel for you like Shaka khan. Pole ni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…