mama chanja
Member
- Jan 1, 2016
- 67
- 67
Pole mkuu, tazama mwisho wa maisha yako, unaonyesha wapendavyo kufurahishwa kwa kipindi kifupi kwani wa umri mkubwa wote wameoa hawawezi kukupa na wakikuoa ujue uke wenza au umeolewa na mgane, vinginevyo wake zao watakuua,,tulizana upate mweza wa maishaHabari zenu wote..
Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi,. Honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana.
Nahisi kama sijui nina bahati mbaya gani, sababu tangu naanza kujihusisha na mapenzi sijawai kuwa na mwanaume ambae ni wa pekeangu yani hana mke na familia kwa Muda , mara ya kwanza kabisa nilikua na uhusiano na mwanaume mtu mzima kabisa ila hakuwahi kunambia kwamba ameoa na wala sikuwahi ku doubt sababu hajawai kunipa sababu za mm kumtilia mashaka, mara zote nilipokua namhitaji hata usiku alikua na uwezo wa kuja na hata simu tulikua tunaongea mpk usiku mnene sana kwhyo sikuwahi kuwaza kama pengine angekua na mke. Labda kitu kimoja tu ambacho kwa wakati huo sikuwahi kukiwaza ni kwamba hakuwahi kunipeleka kwake, mara nyingi tulikua tukikutana hoteli au kusafiri pamoja, issue ilikuja kusanuka baada ya mkewe kunifatilia kwa Muda mref na ndo nikajua kwamba jamaa ameoa the guy aliniomba msamaha sana sana akadai at first hakuwa na mpango wa kulast na mimi ndo mana hakuona sababu ya kunambia and hata alipojaribu kunambia alihisi ningekasirika nikamuacha... Kulitokea misunderstanding nyingi sana ila at last nikaamua kuachana nae. The man alikua na mapenzi sana na mm, he was an amazing man and of course na mm nilikua tyr nimefall kwake sasa pamoja na kuachana, nimekua kama psychologically affected maana wakaka yani nawaona kama hawatanipenda the way that man used to love me.,
Tangu kipnd hiko am only dating grown men ambao bahati mbaya inatokea wote wanakua wameoa na familia zao na ndio hao wanaokua na mapenzi ninayoyataka mimi... I feel really guilty lakini sijui nifanye nn ,nimejaribu kujihusisha na vijana wenzangu kama mara mbili hivi lakni naona kabisa sipo comfortable wala sina upendo nao kbsa, Wana mambo ya ajabu wivu kufuatiliana sana na mambo mengne nisoyapenda mimi. I want to change niachane na wababa jamani, just advice me what can I do? Nitashuru.
:mtu asinitukane, I took my time writing this and ni kitu ambacho kinaumiza sana sasa ukizidi kuniumiza haitakuwa vizuri if you don't have anything to say better unyamaze tu.
Muosha uoshwaa bidadaa ngoja sasa umpate wako peke yako na ww ulipiziweHabari zenu wote..

It's spiritual my sister, tafuta msaada wa kiroho. Mara nyingi mabinti waliozaliwa kwenye koo ambazo zimekuwa na wanaume wenye wanawake wengi hufuatiliwa na hii roho inayokuvuta kwa waume za watu na waume hao kuvutiwa nawe... na lengo la hizo roho ni kuharibu hatma yakoHabari zenu wote..