Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
jamani ugomvi wa nini?Hahahahaaa CV yake chafu sana!
Na kwanza wewe hujatulia utaleta CV gani kwa mpenzi wangu FP ieleweke?
Hebu tuondolee mambo yako....yako yamekushinda unakimbilia za mawifi
Yan sidhani kama huyu binti mzuri...anayenivutia anaweza kuwa na wewe kijana mwenye uzushi na maneno yasiyo na upako kama wewe...huna sera ni majungu tu...lol kweli mfa maji haishi kutapata! FP huna hadhi ya kuwa na huyu kijana!Veri Gudi Okee..
Ngoja nikaandike Barua, sore, Siivii.. Narudi.
Kwa bahati mbaya sana nimesikia Erickb52 yuko ndani kwa kosa la kusafirisha watu kwenda kufanya kazi za ndani Barani Asia..
Sina lengo la kumharibia bali nimekutahadharisha tu, kutokana na pendo langu kwako..
wifi mtarajiwa me love you, sasa sijui huyo pacha wako atapitishwa!Karibu kwetu dear.....huyo mbabaishaji b52 achana nae! Ana kashfa za kujaza gazeti la mzalendo.......ushawahi kuisikia kashfa yoyote kumuhusu my pacha TANMO??.....hapa nimecross mpaka vidole vya miguu lol.....ushindi lazima uwe wetu!
Hili lipo ndani ya uwezo wako Mamii,, yaani kama ni mawifi basi kwenye ukoo wetu umefika..
jamani mimi stress siziwezi jamani. kama mnavyojua sina kashfa, hii ni kwa sababu sipendi pressure, nimejitulia zangu kimya nasubiri mtu wa maana ndo nimpe moyo wanguHalafu FP tafakari kwa makini....wewe unahitaji mtu makini sio mtu kisa umeambiwa na wifi umkubalie....
Huyu TANMO ana historia mbaya sana tangu akiwa kwa Preta na ndio maana Preta aliamua kumtupilia kule sasa na wewe unataka kwenda kupata stress? Hebu muulize Mr Q anajua kwa undani
Come to my world uone raha ya maisha!
jamani ugomvi wa nini?
kwenye cv kila mtu a-specify "tuko wangapi?"
Hata kama na maroli ya mafuta yatajaa ila ukweli namenda sana FP na naahidi kulilinda penzi lake milele wala hatasikia nimeenda kwa The secretary wala Remmy yan kwake ni mwanzo na mwisho!Hahahahaha ndio mana nakupenda wifi mtarajiwa lol..... Erickb52 naomba uwe mkweli kuwa unajaza lori na pick up moja!
wifi mtarajiwa me love you, sasa sijui huyo pacha wako atapitishwa!
jamani mimi stress siziwezi jamani. kama mnavyojua sina kashfa, hii ni kwa sababu sipendi pressure, nimejitulia zangu kimya nasubiri mtu wa maana ndo nimpe moyo wangu
Ndio maana nimekuchagua @fpjamani mimi stress siziwezi jamani. kama mnavyojua sina kashfa, hii ni kwa sababu sipendi pressure, nimejitulia zangu kimya nasubiri mtu wa maana ndo nimpe moyo wangu
Hata kama na maroli ya mafuta yatajaa ila ukweli namenda sana FP na naahidi kulilinda penzi lake milele wala hatasikia nimeenda kwa The secretary wala Remmy yan kwake ni mwanzo na mwisho!