My Letter to FP


Wifi mtarajiwa naamini hutamwangusha pacha wangu TANMO tunaleta CV sasa hivi lol
 
Last edited by a moderator:
Aaa nimerudi,, nilisahau.
Eti Siivii tunaiandika kwa lugha gani?
Yaani hata kama ni kwa kikwenu we niambie, alimradi unitajie Kabila..

View attachment 66905
kama ulivyotabiri na pacha wako sweetlady, nikija kwenu mimi ndo ntakuwa nawapa twishen ya kiinglishi, ila hao mashangazi na wajomba watapenda kwa kingoni, lol!
 
Last edited by a moderator:
kama ulivyotabiri na pacha wako sweetlady, nikija kwenu mimi ndo ntakuwa nawapa twishen ya kiinglishi, ila hao mashangazi na wajomba watapenda kwa kingoni, lol!


Usijali tuko tunagoolge kingoni hapa lol.....nimeapa kuwa sambamba na pacha wangu TANMO .....lazima tumwonyeshe Erickb52 kuwa sisi tumeaga kwetu!......yeye alikuja na gari la mbuzi akatukuta mjini hivyo hatutishi!
 
Last edited by a moderator:
Wifi mtarajiwa naamini hutamwangusha pacha wangu TANMO tunaleta CV sasa hivi lol
Hahahahaaa CV yake chafu sana!
Na kwanza wewe hujatulia utaleta CV gani kwa mpenzi wangu FP ieleweke?
Hebu tuondolee mambo yako....yako yamekushinda unakimbilia za mawifi
 
Last edited by a moderator:
wifi mtarajiwa cross your fingers, hata mimi ningefurahi sana kuja kwenu maana napenda mawifi balaa, kwa Erickb52 sijui kama kutakuwa na mawifi au la, labda aje atuambie hapa

Karibu kwetu dear.....huyo mbabaishaji b52 achana nae! Ana kashfa za kujaza gazeti la mzalendo.......ushawahi kuisikia kashfa yoyote kumuhusu my pacha TANMO??.....hapa nimecross mpaka vidole vya miguu lol.....ushindi lazima uwe wetu!
 
Last edited by a moderator:
uuuwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiii, wifi mtarajiwa sweetlady njoo uone pacha wako TANMO anavyopigwa mabao

Wifi mtarajiwa FP sitegemei udanganyike na hayo makitu ya huyu b52......hana lolote.....subiri pacha anajipanga kuja kujibu mapigo......sie mambo yetu ni taratiiiiiibu!
 
Last edited by a moderator:
uuuwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiii, wifi mtarajiwa sweetlady njoo uone pacha wako TANMO anavyopigwa mabao
Halafu FP tafakari kwa makini....wewe unahitaji mtu makini sio mtu kisa umeambiwa na wifi umkubalie....
Huyu TANMO ana historia mbaya sana tangu akiwa kwa Preta na ndio maana Preta aliamua kumtupilia kule sasa na wewe unataka kwenda kupata stress? Hebu muulize Mr Q anajua kwa undani
Come to my world uone raha ya maisha!
 
Last edited by a moderator:
kama ulivyotabiri na pacha wako sweetlady, nikija kwenu mimi ndo ntakuwa nawapa twishen ya kiinglishi, ila hao mashangazi na wajomba watapenda kwa kingoni, lol!

Veri Gudi Okee..
Ngoja nikaandike Barua, sore, Siivii.. Narudi.
Kwa bahati mbaya sana nimesikia Erickb52 yuko ndani kwa kosa la kusafirisha watu kwenda kufanya kazi za ndani Barani Asia..
Sina lengo la kumharibia bali nimekutahadharisha tu, kutokana na pendo langu kwako..
 
Hahahahaaa CV yake chafu sana!
Na kwanza wewe hujatulia utaleta CV gani kwa mpenzi wangu FP ieleweke?
Hebu tuondolee mambo yako....yako yamekushinda unakimbilia za mawifi

Umeanza kuweweseka lol Source: Filipo aka mwanachama mwenzangu!
 
Last edited by a moderator:
nenda kajipange upya maana FP amewatuma mkakaguliwe na shangazi zake! Lol


Amepaniki utafikiri konda aliyerushwa nauli lol.....anatokwa jasho mwili mzima! .....hapo anajiuliza atapeleka CV gani kwa akina FP lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…