My legs!

Lini uliolewa?

Enhee, vipi July 4th, can't wait, mwaka huu nadhani hakutakuwa na michosho wala uzugaji, right?


Niliolewa siku nyingi sana na cuppy kwani hukuona picha jf?

This time kutakuwa na mambo motomoto mwaka jana mambo mbona yalikuwa fresh sema tuu mziki uliharibu ile bulding ilikuwa na umeme mkali sana compared na vyombo tulivyo rent...Ila expect a lot this time...ushindwe weye tuu!...
 
pia uliwarundika watu kwenye ki gereji kama chumba....utauwa watu kwa safokesheni...
 
pia uliwarundika watu kwenye ki gereji kama chumba....utauwa watu kwa safokesheni...

Acha kuparamia kivuli...nani alikwambia tuliwaweka kwentye garage muulize mwanakijiji na mwenzake GQ an kisura wali wali have fun sana tuu...Huyu Uwiano yeye hakuja alikuwa na party kwenye state ya kwao huko kwanza ha hawa hasafiri kama ww vile mmekaa na kusoma michuzi mkaamini...shauri lenu mtakosa mwana ma maji ya moto this time kutakuwa na Vishtobe wa nguvu wa kufa mtu...
 
kuna ushahidi walilalamika hata humu JF na pia kwa michuzi na wewe ukatoa press conference yako na kuomba radhi....
 
kuna ushahidi walilalamika hata humu JF na pia kwa michuzi na wewe ukatoa press conference yako na kuomba radhi....


Huo ndiyo uzalendo kama watu hawajaridhika then unatakiwa kutoa press conference.....kuomba radhi maana mimi syo mwizi wa EPA kama watu walivyodai kwa michuzi.......this time tunajaribu kurekebisha mapungufu yetu na mambo yatakuwa so different this time yaani wee acha tuu nipo so determined kwa kweli i am going do wonders read my words...

Alafu bana ile haikuwa garage ile ni Hall la kufanyia maparty ule mlango ni wa emergency...just in case of fire....
 
Alafu for the start tuu kwanza nawaletea Ally Kiba June 20th...karibuni chicago concert ya Alli kiba itakuwa House of Blues pale on wacker and State..down town kwenyewe.....
 
Alafu for the start tuu kwanza nawaletea Ally Kiba June 20th...karibuni chicago concert ya Alli kiba itakuwa House of Blues pale on wacker and State..down town kwenyewe.....
hio inabidi na YNIM awepo......
 
tehe tehe hunipati ng'o!!!!


I am just curious...........maana kuna millions of people here in JF why YNIM?....Au ndiyo kisababu ulichokitoa juzi kutaka kumuharibu brain cuppy kumwambia nabanduliwa ndiyo reason yako YNIM?....Loh Baladhuli weye! eeh..kwa nini usimtaje eeh.........FMES au Icadon au Penny,Molelex,Mwanafalsafsa..... you know kuwa ndiyo itabidi waje kwenye concert ya Kiba hapa chi-Town ukaenda kumtaja enemy wa Cuppy?.....
 
Sijaona picha bibie.

Karibu tena kututembelea. Holla @ me!


Huko ni kwangu lazima nije kumtembelea shosti wangu ambaye ni mshikaji wako.....LOL!...Habari ndiyo hiyo!.....kwani shosti wangu hajakwambia kuwa nimeolewa?na yule ana mambo mengi sana kichwani mwake looh!>...

Ila next time usivae basi ile kaunda suti yako ya jeans na koti lake ......hahahahahah!.....
 

Kwikwikwikwikwiiiiiiii.....watu wameshajulikana
 
Dear Lord,
So far Today..I am doing allright!...

I have not gossiped,Lost my temper,Been greedy,Grumpy,Nasty,Slefish Or Self indulgent.

I have not Whined,Complained,Cursed or eaten any chocolate (oops i did chocolate chip ice cream....sorry god i did teleza on this one) anyways lord i have charged nothing on my credit card so far.

Please help mpaka siku iishe na niingie kulala...

Amen!....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…