My last confession CHADEMA imekosa road map


Sasa hapo UMECONFESS nini?
 
Kwa akili yako ilivyo kubwa na nyingi hiyo nukuu ndefu namna hiyo huwezi kuikariri kichwani kama unavyotaka tukuamini humu.
You are on your own , zitto hayupo nawe tena.
Ila pia safari yake chadema imeisha.
 
Ulianza vema ktk kuandika ,ghafla ulipomaliza kunukuu kauli ya Zitto ukairuhusu akili yako iongozwe na uccmism,hapo ukaanza kutusi Mbowe na.kushindwa kuandika kiuchambuzi na kisomi ila kinazinazi.

Ilibidi useme kuhusu nini hasa Chadema wafanye kama mbadala wa kupinga bmk na si kutoa matusi. Matusi ni ya mtu asiye na hoja na aliwkosa shabaha ya nini hasa aseme.Hivyo, huenda unamtusi Mbowe na kusahau Kuwa yeye ni bora kuliko wewe, yaani ana uwezo wa kujibu hoja bila kutoa tusi, lakini wewe uliemzidi Elimu huna uwezo huo!

Umeifunua tupu yako we Mtela
 
HE! hayo ndio ulyoambiwa wewe huko nyuma mkiwa wawili tu ...au yalizungumzwa kwenye mkutano fulani?

Hamna lingine isipokuwa mawazo ta kijinga Kama yako. Watu wanaweza kuzungumza bila ta kupandana. Ama kweli wewe maana chadema haswa
 
mtela msaliti mwampamba anza kuitetea ccm we kila siku unaiwaza chadema?
 
Sijawahi kuwa karibu na mtu huyu anayeitwa Mtela wala kufahamu historia yake. Wanaomfahamu, je aliwahi kupatwa na kwashiokor wakati wa utoto au magonjwa ya akili? Maana moja ya athari ya magonjwa ya akili ni kutokujua mahali ulipo. Huyu Mtela anajua kuwa sasa hivi hayupo CHADEMA? Mwenye akili siku zote hutumia kujenga kile alicho nacho au pale alipo.

Ni uwendawazimu ukiwa kwako ukajifanya una akili ya kumjenga adui yako. Ni mjinga pekee yake atakayekusikiliza au kukuamini.
 
Mtela sidhani kama anamzidi elimu Mbowe. Labda anamzidi Mbowe kwa miaka ya kukaa darasani. Lakini Mtela kwa yale anayoyafanya, aheri hata wazee wetu akina Kawawa darasa la nane walionekana kuelemika kuliko hawa wakaririshwaji.

 
Kama suala ni elimu basi Tanzania tungekuwa tunatengeneza ndege zetu wenyewe achilia mbali kulilia British Airways kuleta ndege zao huku. SHAME OO YOU MWAMPAMBA. Vipi kihiyo mwenzako Juliana Shonza yuko wapi au Mwigulu bado anamtumia kama nyumba ndogo huko aliko? Look huyo Zitto mwenyewe anakiri kuwa nyinyi wajingawajinga mmempotosha ss hana pa kutokea ni aibu tu! Bora mm nisiye na jina kwenye jamii hata nikisema nn hakina impact yoyote kuliko ww tunayekujua ni mnafiki fika. Endelea kuuza nyago huko uliko kuliko kupiga mayoni kwenye hakuna.
 
Ukweli huu utaendelea kudumu na kuwaumiza, huu ni uhalisia wa yanayoendelea Chadema, ni kukosa muelekeo na kushindwa kufanikiwa kwa mkakati wa kuanzishwa Kwa chama hicho.
 

msalimie Zitto sijui utamkonvinsi nani kw ahilo lilopo kwa sasa ni kuiondoa ccm kwa ustaarabu au vipi peleka ujinga huo huko
 
Hivi Mtela jina lako ukiwa CHADEMA kule kwenu unaweza kulilinganisha na sasa ulivyo CCM kwa kule kwenu? Leo hii hata ukigombea Uenyekiti wa Kitongoji hutapata. CHADEMA ni habari ya Tanzania bhana.
 

Kama bado unaipenda cdm,basi rudi omba radhi kwa viongozi na wanachama wote utafikiriwa maana naona ccm wamekutosa.pooole mwampamba msaliti.
 

Inawezekana wewe unayeongea hayamambo hata huna uhakika utakula nini kesho
 

Kaka umempa za uso huyo chumia tumbo
 
Hivi Mtela jina lako ukiwa CHADEMA kule kwenu unaweza kulilinganisha na sasa ulivyo CCM kwa kule kwenu? Leo hii hata ukigombea Uenyekiti wa Kitongoji hutapata. CHADEMA ni habari ya Tanzania bhana.

Mtela sasa anashinda kwenye vibaraza vya wizara ya fedha
 

Mkuu naona baada ya uzi huu kuhusu mzazi wake kama vile akili yake ikarudi kidogo maana kaingia mitini haonekani katika uzi alioanzisha. Lakini kama alivyouita uzi wake "My last confession" usije kuta kesha jitia kitanzi. Kama ni hivyo naomba niwe wa kwanza kusema " RIP Mtela"
 

Mkuu usipoangalia vizuri,utakuwa mweu,hata kama ni njaa isikutawale kiasi hicho.Kama kweli uliongea na Zitto na ukaona mantiki ya alichokueleza leo hii mungekuwa chama kimoja tena cha upinzani mkiendeleza mapambano.Lakini leo wewe ni mchumia tumbo kwa magamba huku Zitto akijiapiza kuwa hawezi kwenda CCM.

Hata ufanyeje,kwa mtu mwenye uchungu na nchi hii CCM haiwezi kuiwa mbadala wa chama chochote hata TADEA,achilia mbali CDM.Kwa wewe kaa ugange njaa tu.

TUACHANE NA HAYO KISHUA ANASEMAJE?
 
Hamna lingine isipokuwa mawazo ta kijinga Kama yako. Watu wanaweza kuzungumza bila ta kupandana. Ama kweli wewe maana chadema haswa

Akili yako fupi wewe, na ulikuwa unatafuta sifa isiyo yako...Unaposema "aliniambia"...Una maana ipi? Kwa nini u quote maneno aliyosema mtu mkutanoni iwe kama mlikuwa na mazungumzo yenu PRIVATE? Eti Alikuambia? What nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…