My last confession CHADEMA imekosa road map

Huna lolote mbinu zenu zote za kuvuruga chaguzi zimeshindwa unabaki kulialia.
 

> Woh unafanya usichojua hata kidogo usiwe mfuasi wa upepo tumia elimu yako unayojidai nayo ikusaidie kufanya analysis kidogo acha kuniogopa kijana. Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA usipeperushwe kama makapi wala sijatumwa ni utashi wangu ninapoona wewe mwenye elimu kubwa umefanya nini na elimu yako hiyo. Narudia tena wewe ni miongoni mwa wasomi ambao hamna faida kwa kizazi hiki umepoteza dira wewe kama kijana.
 

Sasa hao nao ni mazuzu kweli kama hakiwapi fursa ya kutoa yao ya moyoni wanasubir nini CHADEMA si watoke wakafanye yao kwan chama ni kimoja nchi hii vko vyama zaid ya kumi hapa Tz lakn kama vile haitosh kila mwananch wa umri wa utu uzima anaweza kuanzisha chama chake na kuweka hzo itikad zake katka chama chake ilimradi havunji sheria. Ukiona mtu ananung'unika tu alafu hatak kutoka jua huyo ni mnafiki na yuko humo kwa maslah yake ndo maana anavumilia yote.
Au n propaganda zako mkuu kwasababu haiingii akilin et mtu analalamika chama kibov alafu bdo yumo humo, anasubir nn?
 
Familia yangu haiwezi kulishwa na fedha haramu za Danguro, kuwa na heshima.
Wewe at the first place ulienda ualimu kwa sababu ulifeli form six. Mbona babako hiyo hela safi hajapata kaishiwa kununuliwa na magamba kama wewe tu?
 
Mimi nauliza...hivi eti ni kweli umehamia CCM?
 
akili za kuambiwa changanya na zako.,ukidanganywa nawe ukaenda kutoa ushuhuda mbele ya watu juu ya uongo ulioambiwa watu wanakusema wewe kuwa ndio muongo. Linda heshima yako, jiepushe na ujinga.

zito aliwapotosha sana ww na yule demu wako...unajua imefika mahali hamna hoja kabisa mko kama vikatuni
..sijui hata kama huko ccm mnathamani tena . Poor mtela my home boy.
 

Mbona unawapa promo hao walishajifia siku wanatangaza maandamano hakuna anayeanda hata viongozi wao pia
 
Umefanya lipi la maana kuisaidia CCM??
 
Mtella, hivi na wewe umefika form six na ukafaulu kabisa? ....ama kweli nchi hii kuna vitu vingi vinahitaji uchunguzi.
 
Mtela Mwampamba nani alikwambia elimu ya darasa ni kigezo cha kuwa kiongozi mzuri, Kamanda ni bora zaidi ya Maprofesa kibao, unajua kwanini baada ya nyinyi kupata sana elimu ya darasani wazungu wamegeuza TZ shamba la bibi??? unajua nani asema hii iitwe jiografia, hii Bailojia na mengineyo??? Ukizani umesoma na kupata division one kila sehemu kama mimi eti ndo kiongozi mzuri basi elimu yako inakufaa NECTA tu. Uongozi tunajua asilimia kubwa kibaji ndo maana tulikuwa tunateuliwa shuleni/vyuoni kuwa viongozi bila ya kuwa na PhD zozote, na kabla hatujajimbua vizuri lakni wakuu wa shule waliona vipaji. USIPOTESHE ETI FORM six hawezi kuongoza, hata mama yako hana form six je hajawaongoza kwa nafasi yake hapo kwenu hadi leo unabwabwaja???
 
Bavicha nyie ndio engine ya chama,msikatishwe tamaa na wajinga walioshindwa kama akina m.m
 
"......Dr. Zuberi Zitto Ruyagwa......"

Hivi nyie CCM mna shida gani? kila mtu kwenu Dr.? lini kijana kapata hiyo PhD, Kikwete na degree za kupewa nae Dr., degree za kupewa kisheria huwezi kutumia at official capacity, this include signing documents under the prefix Dr.
Afterall ukiona mtu anapenda kutumia prefix Dr. Prof. blalala ujue hana imani na uwezo wake, ndo maana anatanguliza hizo Dr. ..... Prof kudraw attention.
 

Baada ya kumbukumbu hiyo fupi ya maisha yangu ndani ya Chadema, niseme kuwa nawatakiwa vijana wa Bavicha maandamano yatakayowaachia uchungu wasiousahau katika maisha yao.,kwani wajinga ndio waliwao...!!!

Kwa statement yako hapo juu basi MAMA YAKO NDIYO ATAKUWA MJINGA NAMBARI WAHEDI. Maana nime check fact zangu na kukuta kwamba mama yako unayemuita mjinga anayeliwa na CDM ni Diwani kupitia CDM.

Wazungu wanasema charity begins at home. Kwanini usimuelimishe Mama yake aache ujinga wa "KULIWA NA CDM"
 

ushadharaulika muda mrefu
 
Ungekuja kwanza vwawa na mlowo kwenye uzinduzi wa ACT upande jukwaani kuwaambia wananchi hayo!!kijana sasa ivi kwenu unapaona kama ugonjwa wa Ebola!!!pole sana kwa kuwa mkimbizi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…