My Idea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Idea

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Richardbr, Sep 27, 2011.

 1. R

  Richardbr Senior Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wana JF Wenzangu,nawashukuru na nimekuwa nafaidika sana na ukarimu wa mawazo yenu mnayotoa bila choyo chochote hasa kwasisi ambao kidogo shule hailupata nafasi ya kuwa sehemu ya maisha yetu,mbarikiwe saaaana.

  Leo wana JF wenzangu kwa heshima kubwa ninaomba mnielekeze ilinipate kujua ni kwa namna gani nitatimiza kile ninachotaka kukitimiza.

  1. Nina msukumu mkubwa wa kuanzisha mojawapo kati ya vitu vifuatavyo kwa kuzingatia wepesi na faida itokanayo na jambo lenyewe.

  • Nawaza kufungua Kampuni,NGO au Saccos so please nisaidieni mambo yafuatayo.

  1. Namna ya kuanzisha na hatimae kuendesha kampuni pamoja na challenges zake
  2. Namna ya kuanzisha NGO na namna inavyoendeshwa faida pamoja na challenges zake
  3. Namna ya kuanzisha saccos namna inavoendeshwa pamoja na challenges zake.
  Ninafahamu kuwa mnamajukumu mengi na kazii hii yaweza kuwa yenye kuwachosha lakini msaada wenu utabaki kuwa wenya manufaa makubwa kwangu mimi na kwa wengine ambao watainufaisha jamii mahalia so please extend your usual cooperation to those who needs your assistance especial me.

  Nia na madhumuni ni kuifanya Tanzania kuwa ile Tanzania tunayoitaka watanzania wenyewe.

  Ciao
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu Richardbr heshima kwako! Na hongera kwa kuwa na mshawasha wa kumiliki kampuni binafsi, NGO au SACCOS.
  Nakushauri tumia kitufe cha search na utapata thread zilizokwishajadiliwa kuhusu uundwaji wa vyombo vyote ulivyovitaja katika thread yako. Kuhusu SACCOS tafadhali soma kwa umakini uundwaji wa JE SACCOS kwani ina kila hatua ambayo members humu humu walizipitia na hatimaye kufanikisha uundwaji wake.

  QUOTE=Richardbr;2553190]Wapendwa wana JF Wenzangu,nawashukuru na nimekuwa nafaidika sana na ukarimu wa mawazo yenu mnayotoa bila choyo chochote hasa kwasisi ambao kidogo shule hailupata nafasi ya kuwa sehemu ya maisha yetu,mbarikiwe saaaana.

  Leo wana JF wenzangu kwa heshima kubwa ninaomba mnielekeze ilinipate kujua ni kwa namna gani nitatimiza kile ninachotaka kukitimiza.

  1. Nina msukumu mkubwa wa kuanzisha mojawapo kati ya vitu vifuatavyo kwa kuzingatia wepesi na faida itokanayo na jambo lenyewe.

  • Nawaza kufungua Kampuni,NGO au Saccos so please nisaidieni mambo yafuatayo.

  1. Namna ya kuanzisha na hatimae kuendesha kampuni pamoja na challenges zake
  2. Namna ya kuanzisha NGO na namna inavyoendeshwa faida pamoja na challenges zake
  3. Namna ya kuanzisha saccos namna inavoendeshwa pamoja na challenges zake.
  Ninafahamu kuwa mnamajukumu mengi na kazii hii yaweza kuwa yenye kuwachosha lakini msaada wenu utabaki kuwa wenya manufaa makubwa kwangu mimi na kwa wengine ambao watainufaisha jamii mahalia so please extend your usual cooperation to those who needs your assistance especial me.

  Nia na madhumuni ni kuifanya Tanzania kuwa ile Tanzania tunayoitaka watanzania wenyewe.

  Ciao[/QUOTE]
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mpesa ameua....ume exhaust kila kitu. tafadhali mkuu usichoke, chukua muda utembelee posts za nyuma kuna maelezo ya kutosha. duh kuifanya tz kuwa kama tunayoitaka?? hii vision kama ya JK, haya bwana, tunampima mtu kwa mitazamo yake. karibu tufuge kijana
   
 4. babalao

  babalao Forum Spammer

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  )Mzee kuanzisha biashara lazima uwe na wazo la biashara unaweza kuanza kama sole trader mfanya biashara mdogo kisha ukaanzisha kampuni au ukaandikisha jina la biashara. Ukitaka kupata faida usianzishe NGO hizi malengo yake siyo kupata faida ni kutoa huduma. SACCOS ni biashara ya kuendesha benki ya wananchi au microfinance lengo lake kupata faida. Ukitaka kujifunza kuhusu namna ya kufanikiwa katika biashara yako tafuta na ununue kitabu changu (Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
Loading...