My Husband to Be

Well, it seems like you have a fallacious impression of me. I don't blame you either.
 
najiona mimi, I see me
 
Ushampata mzee baba ?
 
Subiri umri usogee sogee ukifikisha kuanzia thelathini na huko nina hakika vigezo vyako vyote na masharti utalegeza. Nazungumzia kutokana na uzoefu kwa dada zako tunaoishi nao mtaani
Kwanini 30+ huwa wanapunguza vigezo ?
wanakwama wapi ku maintain standards zao.
 
Baba ako kesha safiri nchi ngapi mpaka sasa na benki ana sh ngapi?

Tuanzie hapo kwanza
 
 

Je na we unavigezo vya kuweza kuwa na mtu kama huyu unaemtaka weka pic tukuone ili tujue uwe mwanamke wa ndoa au nyumba ndo au mashine ya kusafishia rungu
 
Bado hujakua, ukikua utatamani yeyote awe andunje au mwenye miaka 60. Awe anasafiri Mtwara hadi Tandahimba tu, awe anajua kimakonde na kimakua tu.
 
Subiri umri usogee sogee ukifikisha kuanzia thelathini na huko nina hakika vigezo vyako vyote na masharti utalegeza. Nazungumzia kutokana na uzoefu kwa dada zako tunaoishi nao mtaani
Kwa age limit aliyoiweka huyu tupo kwenye 30's
 
Ni vyema ukatuambia na ww upoje, unafanya kazi gani kama ulivyoanisha matakwa yako ili kuepuka kuchanganya takataka na vitu vya maana
 
Sifa zote nnazo ila nchi nliyotembelea ni Malawi je naruhusiwa.
 
Haya ndiyo maisha, Leo unahitaji handsome ila baada ya miaka saba utakuja hapa na kusema kuwa unahitaji yeyote!
 
Hivi unakipendea nini kingereza??
 
ha ha ha ha inaonyesha wewe utakuwa ni msumbufu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…