Jaribu tu kuchakachua Mkwe! haya mambo unaweza kuoa kumbe katika msafara wa harusi Flower girls akakuvutia ukaanza kupanga mpaka wa kuchakachua baada ya harusi
kama ulipokuwa unaishi na wazazi wako (I meana kabla ya kuoa/kuolewa) kila kitu kilikuwa kinaenda 100% then unaweza kuwaza kwenye ndoa ni hivyo hivyo. Imagine unaenda kuishi na mtu ambaye mmekutana ukubwani unategemea kila kitu kitakuwa 100% perfect? then u must be a bit crazy.
hapo mama vunja ukimywa kwa kuwaeleza wazazi wake!
kama Nyamayao...ningefanya maarifa ya aina yoyote tuweze kuongelea hii ishu, hata kwa kucndikiza na ugomvi lakini akae chini tuckilizane, huwa naamini hakuna mtu anaeweza kutatua matatizo ya watu wanaojifunika shuka moja kama sio wao wenyewe, mie mpaka sasa pa1 na matatizo yote niliyopitia ckuwahi kupata akili ya kusema eti nishirikishe mtu aje atatue, nilikuwa naongea na mama nyamayao/my sis kwa kupata mawazo mawili matatu, sio kwa wao kuja kwangu na kuweka kikao, na yeye nilishamwambia/anajua hilo kwamba kama mie na yeye tukashindwa kufikia muafaka wa jambo bac na bora tujue tumeshindwana tu, utalalamika eg kwa mama mkwe, unategema atatatua lolote juu ya mwanae zaidi ya kuambiwa "vumilia ndio wanaume walivyo"
HA HA HA HA mama mkwe nimecheka mpaka basi hizo mbona nimeishakutana nazo kuna mshikaji aliisaliti ndoa yake hivi hivi sababu ya hao FLOWER GILRS NA MAIDS, saa zingine unakuta wako bomba kweli kuliko hata bi harusi ndipo hapo unaanza kuchakachua na usiombe naye ukute ni green light yaani mwendo mdundo
Mtu mwenya akili na utashi utapelekaje mambo yako kwa watu wengine?
Labda niulize kidogo..Hivi watu wote tunaingia kwenye ndoa tukitegemea kuwa kila kitu kitaenda vizuri (100%) hadi huko kufa na kuzikana?
Kama si hivyo huyo dada ajue ndoa yake inakaribia tamati na afanye last attempt kuokoa jahazi.
HA HA HA HA mama mkwe nimecheka mpaka basi hizo mbona nimeishakutana nazo kuna mshikaji aliisaliti ndoa yake hivi hivi sababu ya hao FLOWER GILRS NA MAIDS, saa zingine unakuta wako bomba kweli kuliko hata bi harusi ndipo hapo unaanza kuchakachua na usiombe naye ukute ni green light yaani mwendo mdundo
h haaaaaaaaaaaaaa, sasa contacts za flower girl mnazichukua saa ngapi? ukumbini, kanisani, au ndo kazi ya best man? unamwonyesha tu yuleeeeeeeeeeeee! then anakutafutia kiaina?
hakuna ndoa iliyopo 100% pefect, mwenye hiyo ndoa na anikosoe hapa, hata kama walitokea kwenye ndoa ya namna hiyo hawakuona lolote coz wazazi wao walikuwa wanajua kumaliza mambo yao chumbani wakija sitting room mambo ni mengine.
lakini wamama ndo kawaida yetu, yanapoanza inabidi ubeg beg ukidhani ndo utamrudisha. kumbe sometimes mijamaa inahitaji kubuluzwa, unakuja kulijua hilo muda umeshapita............. so tusimlaumu sana
Ha ha ha, FP acha tu ishu nzima inavyochezwa kama vile watu wanavyocheza mchezo wa bao au karata
kama Nyamayao...ningefanya maarifa ya aina yoyote tuweze kuongelea hii ishu, hata kwa kucndikiza na ugomvi lakini akae chini tuckilizane, huwa naamini hakuna mtu anaeweza kutatua matatizo ya watu wanaojifunika shuka moja kama sio wao wenyewe, mie mpaka sasa pa1 na matatizo yote niliyopitia ckuwahi kupata akili ya kusema eti nishirikishe mtu aje atatue, nilikuwa naongea na mama nyamayao/my sis kwa kupata mawazo mawili matatu, sio kwa wao kuja kwangu na kuweka kikao, na yeye nilishamwambia/anajua hilo kwamba kama mie na yeye tukashindwa kufikia muafaka wa jambo bac na bora tujue tumeshindwana tu, utalalamika eg kwa mama mkwe, unategema atatatua lolote juu ya mwanae zaidi ya kuambiwa "vumilia ndio wanaume walivyo"
Ni kweli The Finest mkwe wangu kuna mmoja tuko nae hapa yeye alioa mdada mrembo wa haja lakini baada ya miaka miwili akaoa tena Flower Girl sasa wana miaka minne kwenye ndoa kila nikimtazama huwa simmalizi hata kidogo
si ndo watu wanafikiri wakiwaona mtaani mnavyotabasamu wanadhani mpo 100% perfect. kuna rafiki yangu siku moja aliniambia ananionea wivu sana eti kila anapotuona tupo happy. na hata marafiki wengi wanasema hivyo. sasa mmoja siku akaniuliza hivi huwa mnagombana? nikacheka sana, nikamwambia hata nyumbani (watoto) huwa hawajui kuwa tunagombana lakini huwa inatokea kugombana. ukiona mwnzako kakukwaza tu break ya kwanza chumbani ( huko si ni mtakuja?) unahakikisha hutoki mpaka aingie chumbani umalize hasira zako ndo unatoka nje. maana sometimes ukiwa na hasira hujali nani yupo hapo unaropoka tu
ile dizain limtu limelala nje huko akirudi unapiga hadi magoti kumuomba akujulishe alilala wapi....msxssii...nachukia sana, mie bwana cnaga kiporo kwa kweli, tuweke mambo sawa tusonge na maisha ishu za kuuana taratibu czitaki mie...na ndio inafanya baadhi ya wanaume washindwe kuwaheshimu wake zao, mana anajua hata akifika home baada ya cku 4 atabembelezwa aseme alikuwa wapi wakati unajua kabisa ni rafu imechezwa...
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise...
NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa
Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise, it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..