My husband does not support me and our kids but helps relatives

My husband does not support me and our kids but helps relatives

hivi viazi cherema bado vinakuwepo? Enzi zetu kuna kiazi hata ukaangeje kinakuwa kama kibichi. Kama ni kuchemsha sijui hata nielezeeje?

bidada ametulia anachochea moto kiazi kicherema kiive, mwache atakesha!
 
Naelewa situation yako more than u can imagine nmelishudia hili kwenye familia nying za dizain hii!
Nnachokiona hapa ni kwamba wanaume wa dizain hii kuwa mbal na familia kunawafanya wajione km vile hawajaoa simply bcoz hajui ilivo ngumu kutake care of the family as most of this cases start frm the begin of their marriage,mwanaume ambaye ashaish sana na familia yake wakaja tengana baadaye kdg atakua anajua ugumu na ataona umuhim wa kumsapot mkewe!
Wanafanya makusud akirud anakuta watoto wako Ok nyumba iko Ok na kuna maendeleo ye anaona rahisi tu!
Ndo mana anaziona shida za ndugu zake zaid kuliko familia yake ndo mana had anadilik kukuomba wewe fedha akiamin kwako si tatizo wakat masikin na wewe unastrago haswa kuweka hal ilivo.
Ushaur wangu kwako km watoto wako wanaumri wa kutosha wakati mwingine wakiwa likizo wapeleke nae akae nao au mwende wote na ukifika huko mwache atoe matumiz yote yeye akiona ngumu ndo ajiulize wewe unasurvive vp!
Pole sana ila naamin hujachelewa kumbadilisha mwambie mumeo kuinvest for future sio kusomesha ndugu,ndugu ajua anasomesha lkn haina maana lazima watakuja wasaidia watoto wenu km anataka kuinvest for future awafungulie watoto mirad au awanunulie hisa!
 
[h=5]My husband does not support me and our kids but helps relatives

I am 29 and have been married for four years with two kids. My husband and I live apart because of our jobs. I have a problem with my hubby because he doesn’t support me and my children at all financially, saying he is investing for the future. The worst thing is that he complains when I assist my extended family. He lives with his sister’s children and pays their school fees. He even sometimes asks me for money to support them and I give him. He has stopped talking to me because I told him my mom came to visit us. Is he serious about the family? Is it wrong for a married woman to assist her parents?[/h]

Acha u MBUNDULA WE MSAFWA.
Yaani hujashtukia tu kuwa unachunwa?
 
My husband does not support me and our kids but helps relatives

I am 29 and have been married for four years with two kids. My husband and I live apart because of our jobs. I have a problem with my hubby because he doesn’t support me and my children at all financially, saying he is investing for the future. The worst thing is that he complains when I assist my extended family. He lives with his sister’s children and pays their school fees. He even sometimes asks me for money to support them and I give him. He has stopped talking to me because I told him my mom came to visit us. Is he serious about the family? Is it wrong for a married woman to assist her parents?

Sorry, you have to take it or leave it.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    15.3 KB · Views: 54
  • image.jpg
    image.jpg
    17.2 KB · Views: 54
mmh jama mbona mnatutisha wenzenu? kwenye hizo ndoa tutaingiamo kweli? daah nmeamini ndoa ngumu.
 
bidada ametulia anachochea moto kiazi kicherema kiive, mwache atakesha!
msimdanganye mwenzenu, unataka aachike aolewe na nani?
Ujue hapo akiachika tu ndo atakuwa sehem zetu za kupunguzia stress!!!!!

mshaurin wakae na mumewe wazungumze,

hapa hajasema kipato chake ili tulinganishe na cha mumewe, coz inawezekana mumewe anapata lak 3 kwa mwezi
wakat yy anakula mill 4.8/month, kwa stail hiyo kwa nn mumewe asichue matumiz toka kwa waifu?
 
My husband does not support me and our kids but helps relatives

I am 29 and have been married for four years with two kids. My husband and I live apart because of our jobs. I have a problem with my hubby because he doesn’t support me and my children at all financially, saying he is investing for the future. The worst thing is that he complains when I assist my extended family. He lives with his sister’s children and pays their school fees. He even sometimes asks me for money to support them and I give him. He has stopped talking to me because I told him my mom came to visit us. Is he serious about the family? Is it wrong for a married woman to assist her parents?

Hayatuhusu. This is your private business. Go and discuss within a family.
 
Kipidi hiki cha shule ;sijaona anjitingisha kuhusu watoto na vifaa vya shule. yangu macho na muachia mungu
 
msimdanganye mwenzenu, unataka aachike aolewe na nani?
Ujue hapo akiachika tu ndo atakuwa sehem zetu za kupunguzia stress!!!!!

mshaurin wakae na mumewe wazungumze,

hapa hajasema kipato chake ili tulinganishe na cha mumewe, coz inawezekana mumewe anapata lak 3 kwa mwezi
wakat yy anakula mill 4.8/month, kwa stail hiyo kwa nn mumewe asichue matumiz toka kwa waifu?

Mkuu hapa umenena, ujue wanawake wanadhani kuhudumiwa na mme ni wajibu! Hapa kasema eti "hanihudumii mimi na watoto" je, wewe haujiwezi mpaka udai kuhudumiwa kwa nguvu? Ni watoto pekee ndo wenye haki hiyo! Hebu badilikeni muache u-omba omba wenu! Msimdanganye mwenzenu akaachika kisha wanaume wapenda raha wakapata pa kupumzikia!
 
R.B pole mwaya, watoto wawili wako ndani ya uwezo wako.
 
Last edited by a moderator:
Ana matatizo ya akili, si bure. Kama anataka kusaidia familia yake kwanza, rudi kwenu ukaanze life upya. Unajua siku hizi wanawake akili zetu hazichaji haraka, mtu kama huyo siwezi kumfuvilia hata siku moja.
 
This is your private business. Nani alikulazimisha kuolewa. Hayatuhusu.
 
Mhhh haki ya nani tena thread zingine bora nkae kimya miee
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmh
 
Mkuu hapa umenena, ujue wanawake wanadhani kuhudumiwa na mme ni wajibu! Hapa kasema eti "hanihudumii mimi na watoto" je, wewe haujiwezi mpaka udai kuhudumiwa kwa nguvu? Ni watoto pekee ndo wenye haki hiyo! Hebu badilikeni muache u-omba omba wenu! Msimdanganye mwenzenu akaachika kisha wanaume wapenda raha wakapata pa kupumzikia!

Ndoa ni kusaidiana haimaanish kuwa km mtu ana uwezo bas ndo mwenzie ajisahau!
Uomba omba kwa kulea wanao!?huu ni wajibu wenu wote na wala usidhan wajibu wako ni kutunza familia ya baba ako kwan kila mmoja atawaacha hao na kuambatana na mke au mume!Asa kuna haja gan mtu kuendelea kukaa na mtu ambae hamuambatani!?
Kwa mwanaume kamil ni fahar sana kuwahudimia mke na wanao hata km mkeo anajiweza!
 
Acha u MBUNDULA WE MSAFWA.
Yaani hujashtukia tu kuwa unachunwa?

Kweli huku ni kuchunwa jamani. Mbona ndoa zina mambo! Huyo mwanaume mvivu hata kuhudumia his family? Eti anainvest, so kusomesha watoto haihu! Pole dada, mbane tu.
 
pole sana aisee huyo jamaa ana ka upepo kameingia kwenye akili yake. pray for him and let him know what you are feeling about his behavior ila isiwe kwa ugomvi. Tumia hekima kumuewesha upumbavu wake kwa upole na ukarimu, hata asipokupa jibu la maana kwa wakati huo, nafsi itamsuta na atajirekibisha.
 
Back
Top Bottom