My Goodness!! Mhubiri ahubiri chuchu nje

My Goodness!! Mhubiri ahubiri chuchu nje

Mnashangaza sana Wanawake wakivaa kistaarabu (Kiislam) Hamtaki Wakivaa kwa Mujibu wa Dini zenu Mnalalamika
Mna nini nyiee!!!!!!!!!!????????,,,,,'mmmmh

Kwani kuna dini inaruhusu mipasuo, vimini?
Masista kwani wanavaa vimini? Ni kupotoka kwa watu tu basi

Tatizo sio dini, tatizo ni wafuasi wa dini zote! hawataki kufuata dini badala yake wanakimbilia dini yanapowasibu! Tubadilike wajaameni ohooo
 
Back
Top Bottom