Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,036
hongera sana. umezaliwa mwaka gani?
Kama siku tu kasahau, unadhani atakumbuja mwaka huyu....!!!
Nadhani atakua kipindi kile mahindi yanaanza kuota.
khaaaaa!!!!!! anaweza akakumbuka bana. nataka nimpe zawadi ya birthday.
Hahaha...sasa si umpatie tu jamani, au ndio hadi ataje mwaka?
hadi ataje mwaka.... nisije nikampa zawadi iliyomzidi umri bure.
hadi ataje mwaka.... nisije nikampa zawadi iliyomzidi umri bure.
hiyo sio zawadi ya ushindi kweli!!!
aaaaahhh!!! sio bana maana hakuna alichoshinda. lol.
kupatia mwaka ndio ushindi wenyewe