My God help me nimpende nani

Never swez kufanya hvyo,,coz najiheshimu na uzur niko sekta ya afya so najua adhari za kufanyafanya ovyoovyo magonjwa ni mengi xana including STIS and HIV

Magonjwa sio hayo tu. Kuna loss of dignity and pride as a woman. Hapo you will end up feeking worthlesa and retaliate against your fellow women who appear to have it all.
 
jipende wewe kwanza ... achana kufikiria kupendwa hakupo
 
Magonjwa sio hayo tu. Kuna loss of dignity and pride as a woman. Hapo you will end up feeking worthlesa and retaliate against your fellow women who appear to have it all.

Yeah ni kweli kabsa.
 
 
Yeah still mdogo but siko under eighteen,,now nipo mwaka wa mwisho chuoo nursing,,,let me concetrate in studying kweli mapenz yapo tu

hahahaa! Kumbe nurse?!! Usijali utakutana na madokta, wagonjwa wakwale, na wale wanaowatazamia wagonjwa wao......

Uko chuo gani vile
 
sijui nani kati ya voice au steve wonder something like that nimesahau ni kitambo sana

ukisema steve wonder unamsema yule jamaa kipofu na mpiga kinanda mzur sana wimbo wake mmoja wapo unaitwa "I just call"

yupo na kwenye kolabo la wakojako la Usa For Africa ndio wanaanza ule ubet wa kwanza akiwa na lionel Richie.
 
if am not mistaken ndo huyo huyo voice wonder ...nimpende nani mweenzenu naliaaa nifanye nini najifikiriaaa nilompenda mwanzo amenikimbiaa kisa masikini si ndo kanambiaa nitampa nini aatachoridhia( mengine nimesahau)

umepatia ndo huyo huyo
 
Mungu aache kushughulikia ebola ashughulikie mapenzi ujinga mwingine.
 
Jaman who is the best man for me?

Nimechoka kudanganywa Mungu nionyeshe mwanaume mwema.

Hadi kusoma nashindwa kisa mapenzi Mungu nisaidie.

Nipo hapa; nipende - ushapata jibu, lakini utalichukua kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…