My God help me nimpende nani

Nipende mimi.....huto umizwa huto lizwa,utasahau yote machungu ya kutendwa,na nitakufanya usome sana na ufaulu sanaa...u will never walk alone nitakuwa na wewe milele kama utakubali kunipenda na kuendana na mimi njoo kwangu nikupumzishe na mizigo ya machozi kudanganywa na kulia asema bwana wa majeshi
 
jaman who is de best man for me????? Nimechoka kudanganywa daaah,,,eeh mungu nionyeshe mwanaume mwema..hadi kusoma nashdwa kisa mapenz daah mungu nisaidie,,,

Kwani wote hao umewapa papuchiiii o?
 
dah haya bhana
 
tumetofautiana huwezi jua....nakumbuka pindi nipo form 6 kuna mkaka alichizika kisa mapenzi .wote tulikua nao shule moja darasa moja ....mkaka alifikia hatua akawa anaongea pekeake
 
Mnajiachia ovyo then mnakuja kulalamika hapa. Tulia, acha kuendekeza mapenzi, soma. Mapenzi utayakuta huko uendako. Ukiyaendekeza saivi yatakukunai kabla ya wakati.
 
Jishughulishe kuitengeneza future yako kwa ajili yako. Wacha kuwaza vitu ambavyo haviendani na wewe kwa sasa....Kila kitu kina wakati wake..wakati wako wa kufanya hayo mapenzi utafika.

Asante sana
 
Mnajiachia ovyo then mnakuja kulalamika hapa. Tulia, acha kuendekeza mapenzi, soma. Mapenzi utayakuta huko uendako. Ukiyaendekeza saivi yatakukunai kabla ya wakati.

asante sana kwa ushaur wako
 
tumetofautiana huwezi jua....nakumbuka pindi nipo form 6 kuna mkaka alichizika kisa mapenzi .wote tulikua nao shule moja darasa moja ....mkaka alifikia hatua akawa anaongea pekeake

Mapenzi acha tu yaitwe mapenz,,,usiombe ukapenda labda kama umetaman
 
niimbie ule wa voice wonder
 
Yeah still mdogo but siko under eighteen,,now nipo mwaka wa mwisho chuoo nursing,,,let me concetrate in studying kweli mapenz yapo tu

mwaka wa mwisho nursing na bado hujajua umpende nani???
 
tumetofautiana huwezi jua....nakumbuka pindi nipo form 6 kuna mkaka alichizika kisa mapenzi .wote tulikua nao shule moja darasa moja ....mkaka alifikia hatua akawa anaongea pekeake

alikuwa amechoka kusoma huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…