My girlfriend has a girlfriend | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My girlfriend has a girlfriend

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by afrodenzi, Apr 11, 2011.

 1. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wakuu napenda
  Kutanguliza samahani kama hii
  topic itawakwaza wengine..

  Nina rafiki yangu wa kike kaolewa
  na ana mtoto wa miaka mitano ..
  Yeye na mume wake pamoja na mtoto
  wanaishi maisha ya amani tu..

  Nway jana hiyo tukawa tunapiga story tu
  akasema kuna kitu anataka kuniambiaili nimsaidie
  akasema yeye si mwaminifu kwenye ndoa yake kwani
  ame fanya tendo la ndoa na mwanamke mwingine..
  na kweli amefurahia na anaburudika zaidi..
  Amejaribu kumwambia mumewe kwa njia ya utani
  Mume akabadilika kuwa Mbogo ndo akamwambia ni utani tu..

  Sasa wanajamvi afanyaje sukari imemkolea kwa mwanamke
  Mwenzake,halafu ye mtoto wa Mchungaji na huku ana
  ndoa na familia..
  Mawazo yenu yanakaribishwa.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,091
  Trophy Points: 280
  Mhhhh! AD hii kali! Dunia yetu ya sasa Mhhhh! ina mambo ambayo kwa kweli ni ya kustaajabisha sana. Sasa huyu si ajabu anaweza kuamua kufunga virago ili akiishi na mwanamke mwenzake maana burudani ni zaidi ya ile anayoipata toka kwa mumewe!
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Yaani huyo
  hataki tena tendo la ndoa
  Na mumewe.. haimfurahishi..dahhhh
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Shetani ana nguvu sana mwambie huyo dada afunge na kufanya maombi maana atakapo angukia ni aibu kwa ndugu zake na mumewe na mtoto wao,
  Halafu my dia jaribu kumuogopa kimtindo asije kukubaka bure.
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  hilo ni pepo, maombi ndiyo yatamuokoa. Asipofanya jitihada, ndoa yake iko shakani.
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Afrodenzi ndio kwanza umeingia ofisini na stories za weekend? Kazi kwanza, tutaziongelea wakati wa break. Halafu angalia mafaili kama yapo kama ilivyoyaacha ijumaa b'se kuna watu wamepoteza kazi this weekend.
   
 7. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mhh...hii story ya wapi tena? huyo demu ni mtoto wa mchungaji? embu ni pm tu!
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daaahh
  mpenzi MR
  huyu kachanganyiwa na penzi la msichana
  Mwenzie yeanatafuta njia ya kumwambia mumewe
  anakwambia nilikuwa kipofu sasa nimeona..

  Hahaha and
  u don't need to worry bwt me lol
  Hahahah lol
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  What's wrong with dude? If I were him I'd bust a quick rhyme that goes a lil' some like this....my girl gotta a girlfriend, I just found out but it's aiight, as long as I can be with her too. And It's really not a problem coz Imma make it do-what it-do. Coz having two chicks is better than having no chicks. I'd rather just join in. Keep my girl and keep the other one too. Ha haaa....

  So just tell dude not to be all uptight about it. Life is too short to fuss about the minutiae of everyday life. Actually, IMO fussing shortens life. He can join in and they can all have one hell of a menage a trois. That way so everyone can be jolly. Does anyone find that to be objectionable?

  Oh btw, wassuup JF world? It's been a minute and things done changed since I left. I see tons of new peeps that I barely know. But it's all good. I'm sure the vets did hold down the fort while I was gone. Happy Monday, peace out, and be well.
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Hahaha kazi ipo kweli hii ni laana duh Mungu tusaidie jamni mapenzi ya jinsia moja big NO!
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  My dear
  matatizo ya maisha yanatokea
  Saa yeyote haijali ni weekend au weekdays


  Daahh hiyo avatar yako
  Na maneno uliyoandika yamenishtua kidogo lol
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daaahh
  Welcome back NN.
  so the guy should join the club mmmhhh

  But what bwt the kid
  And family a super Christian..
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Tatizo tunakoelekea
  kila kitu ambacho kilikatanzwa
  ndio fashion. Na watu wana enjoy..
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu
  lakini mie nimesha vuna..
   
 16. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Mwambie huyo rafiki yako atafuta na ausikilize wimbo unaoitwa-My girl gotta girlfriend rmx by Ray Lavander feat Fabolous
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Apr 11, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  The kid? They should just put him/ her to bed before they get their freak on. Simple as that.

  And what is a super christian? Afterall, who said christians, whether super or not, don't get freaky?
   
 18. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siku za mwisho zimefika si bure huyo rafiki ako ana mapepo wabaya sana anahitaji msaada wa maombezi
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhh naona
  Kuna ambao wanam sapport
  very interesting.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tayarisha mbegu, etc kwa msimu ujao.
   
Loading...