My girl is better than yours

Noo ! Msifanye hivyo oaneni kwanza halafu mzae mtoto katika ndoa
Hii itasaidia mtoto kuwa mwema zaidi ya mamaake mtoto wa ndani ya NDOA ni baraka
Ni wazo zuri lakini tunataka tufunge ndoa akiwa na ujauzito tayari atleast wa four months then mtoto atazaliwa tayari tukiwa tushafunga ndoa.
 
Ukimzingua huyo msichana baada ya kupata mwingine au kupata mpunga mrefu laana yake itakutafuna vizazi vyako vitatu au zaidi. Yaani wewe, mwanao, mjukuu wako na mtoto wa mjukuu wako. Najua pesa kitu haramu sana, siku ukizipata za kutosha kufanya kufuru utatamani watoto wabichi laini wale tepetepe(kama freshers wa chuo) na wale wanaishi maisha ya TV kama akina Kidoti, Wema, Masogange, Lulu, Giggy, Amisa Mabeto na wengine wa dizaini yao wapenda artificial things.
 
Aseeh, hongera sana mkuu,angalia usimumize,...akikukosea msamehe,unabahati ya kweli,
Alwayz akinikosea huwa anapiga magoti na kuomba msamaha, mpka huwa najiuliza ni kwanini huwa anafanya hivo, japo mie huwa nikimkosea kumuomba msamaha inachukua mda.
 
Nilifanya hayo yote tena zaidi ya huyo wa kwako almost 10 years unamvulia mtu kwa kila hali ila siku tu alipopata kazi hakuna rangi niliacha kuisoma...... Muombe tu Mungu huyo awe kweli ni mke wako na wewe ni mume wake.... Pia usidharau wanawake wengine ni vile tu kila mtu hawezi elezea kilchomo moyoni mwake hata huyo wako siku mkiachana kuna wanaume watamuona hafai ingawa sio kweli maisha ni safari ndefu sana zaidi ya unavyodhani
 
Well said, sidharau wanawake wengine kamwe ila binafsi kwa huyu sidhani kama ntakuwa tayari kumpoteza...nw ndio naangaika kutafuta ajira ye yupo chuo nkikwama ntamtafuta na hata hela ya nauli yupo radhi kunipatia kitu kinachofanya nizidi kumuamini kuwa she the one ni age yake....still yupo kwenye 24+ lakini ana akili ya kiutu uzima sana sana tu.
 
Ngoja apate wajanja zaidi wamfungue akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…