My girl is better than yours

My girl is better than yours

G55-MGODI

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,353
Reaction score
1,825
Habarini wana MMU,

Leo nimeamua kushare kitu nanyi juu ya mahusiano yangu ambayo nipo proud sana kuwa nayo.

Nipo kwenye mahusiano takribani miaka saba sasa binti niliyenae nimuelewa sana sana, anajua ni nini tafsiri ya maisha kwani kwa miaka hii yote japo sijamuoa lakini amesimama kama mke mtarajiwa kwangu. Msemo wake hataki kupoteza nafasi hii.

Nilimkuta akiwa bikra miaka kadhaa iliyopita niliweza kuwa mwanaume wa kwanza kwake. Hajawahi kuniomba hela hata mara moja ila huwa ananiambia hawezi niomba hela ila nikiona ana tatizo basi nijiongeze kumpa hela. Am proud of her kwani kuna muda chuoni nilikuwa naishi gheto naye akaamia kwangu tulisaidia kwa kila kitu.

Binti alikuwa yupo radhi akae wiki hata mbili bila kusuka ili ile hela akanunue mboga na unga tuweze kula. Kipindi hicho ndicho nilichamini kuwa nimepata mke kabisaa kwani nilifukuzwa chuo. Aliweza nishauri sana kuwa nisirudi nyumbani nikae nae ye akiwa chuo mie nianze kufanya biashara then baada ya muda ndo nirudi chuo tena.

Nilikubaliana nae na boom lake lilipotoka siku moja ghetto usiku tumemaliza kula aliweza nipatia laki tano at that time alikuwa only 22 yearz kweli boom lake alibakiwa na hela ndogo akanisihi niwe nafata mzigo wa nguo za kike then ye atakuwa anaenda nazo chuo kuuza kwa wadada wenzake.

Tuliweza kupata hela ya kula na maisha yaliweza kwenda taratibu, mwaka ukaisha ikanibidi nirudi chuo alisimama nami kwa hali yote akinambia ule mtaji ndio niongeze nkalipie ada. Finally nishamaliza chuo now nipo naangaika na ajira.

Upande wa maisha yangu na yeye tunaishi vizuri hana kiburi, hapendi kujiona yeye ndio yeye japo ni mzuri sana. Ghetoni kwetu kachangia vitu vingi nami pia nimechangia vitu vingi tu hakika ni muelewa wa hali ya juu kwani hana tamaa ya pesa kwani kwao wapo vizuri. Siku zote huwa ananiambia anafanya haya yote sababu ananipenda na hataki kunipoteza na kama siku nikitaka kumwacha bora nimpe mimba ndio nimwache.

Tumesaidiana mambo mengi nikiwa na shida she is alwayz there now nasubiri tu amalize chuo nioe kabisa kabisa.
 
Duu umebahatika sana
Ukipata mwanamke bikra aisee mtreat vizuri sana na akuone ur da perfect man to her, hakika hawezi kukuacha, mie wangu mwanaume yoyote akimtongoza kwenye simu lazima anipe namba ananiambia nimwambie kuwa mie ni mke wake so amwache. Simu yake tunaweza badirishana for a day atachukua yangu ataenda nayo chuo then ntabaki na yake...simu zetu hazina lock kabisaa.
 
Hapo pekundu umeniacha kidogo
Ndio maana nkasema maamuzi sahihi kulingana na mda, tunaweza kuoana nw ila mda mda mwingi akawa chuo so kwa hilo sipendi, japo tushakubaliana akikalibia kumaliza amalize na ujauzito.
 
Huyo alikutunzia kama Ebitoke..
Na alikuwa ananikazia kweli kila nikitaka ananimbia ntamuuzi, niwe mvumilivu ipo siku ntaenyoj sana, sasa ninayaamini maneno yake kwani ninaenyoj sana.
 
Ha ha ha why should I trust you while you have never been with them?
Refer their post, kidogo tu wanataka hela za kusuka. Wakati wangu mpaka huwa namuonea huruma anaamka asubuhi atachana tu nywele then ataniambia "siku ukipata kazi make sure mke wako uwe unampa hela ya kusuka, by nw najua tuna safari ndefu napenda kusuka nipendeze lakini kwa kuwa nipo nawe tayari haina umaana wa mimi kupendeza afu tukose hela ya sabuni"
 
Back
Top Bottom