mm jamani kwenye hilo sanduku la posta imekua kikwazo kikubwa kwangu....nasina hilo sanduku la posta ss cjui niagize vp ili kinifikie...na nikiagiza bila sanduku la posta ntajuaje kma mzigo umefika....
Hii ndio sababu ya wauzaji wengi kukataa kuship africa,sasa wamekurefund na bidhaa umeipata, kama uliweza kufungua kesi uwe refunded kwann usimjali muuzaji kwa kumpa haki yake,kakuuzia kwa bei nzuri kaship kwa uaminifu mpk umepata,afu umepata mzigo umepiga kimya, uungwana ni vitendo...