donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
mzigo kutoka US umechukua muda gani??
mzigo kutoka US umechukua muda gani??
donlucchese
Edit uzi basi utupe full details uliagiza kitu gani?
Kimefika baada ya siku ngapi?
Ushuru umelipa kiasi gani?
Maana nimeona hiyo ni FEDEX mm nikiagiza mzigo kwa DHL wanakaa nao TRA mpaka mwezi ufike mara ohhooo sina TAX Indentification number(TIN) na vikwazo kibao sijui wanataka cha juu
kaka sijalipia ushuru kiasi chochote, hiyo company nimejiunga nayo wameship directly mpaka ofisin kwa bro. Ni samsung galaxy epic 4g used kwa $30
don hiyo ni simu au?
kaka sijalipia ushuru kiasi chochote, hiyo company nimejiunga nayo wameship directly mpaka ofisin kwa bro. ni samsung galaxy Epic 4G used kwa $30
Compuni gani ulojiunga
don hiyo ni simu au?
Hebu fafanua hapa mkuu: kununua physical address marekani na wewe uko bongo unafanyaje fanyaje?mkuu mimi nimepurchase physical adress ya US ambapo shipments zangu zote zinaenda kwenye hiyo US adress then ndo wananitumia TZ mpaka ofcn kwa bro, imetake like 5days kutoka states mpaka hapa bongo
Company gani tena?
Waweza toa link ya hiyo 30$ ilituicheki maana mm hii simu nimeisikia leo
Je umeitumia tayari kuona iko fresh?
kaka ni Galaxy S II Epic 4G, niliinunua used af ina cracked display japo ina f(x) fully kama kawa ndomana ikawa cheap kiivo!
Hebu fafanua hapa mkuu: kununua physical address marekani na wewe uko bongo unafanyaje fanyaje?
Hiyo iko locked kwa SPRINT na ni CDMA technology unafikiri itaweza tumika na line za Bongo