Nafikiri kabla hujapangua listi yangu naomba ungalie jinsi nilivyoipanga.
Nakubali kwamba Aguero anakiwango kizuri but kwa msimu huu no one is like Suarez. HILO HALINA UBISHI.
Nakumbuka kuna siku ambayo nilikuwa naangalia football analysis ya ESPN na wakawa wanajadili games ambazo Lui ameonekana kutokufanya vizuri. Baada ya majadiliano ya muda, kilichoonekana na kwamba hakuna gemu ambayo Lui alichemsha!
Unfamiliar position
In order to accommodate the formation of 4-3-3, BR alijikuta anamchezesha Lui on unfamilia position. Kama utagundua Lui alikuwa anacheza wing ya kushoto ambayo siyo nafasi yake. BR alifanya hivyo ili kumpa sturridge advantage na mazoea ya kufunga sababu ndiyo striker tegemeo la England na alikuwa akipewa maandalizi ya WC.
Man Making
Kwa maelezo waliyoyatoa kwa wakati ule Lui alikuwa anaongoza kwa kuwa mchezaji aliyechezewa rafu nyingi zaidi. Hii iliyonyesha kwamba managers wa timu pinzania walikuwa na mkakati wakuhakikisha kwamba hapati nafasi. Hii ilionekana zaidi kwenye mechi zote mbili za Liverpool na Chelsea. If you look into images za gemu ya pili utaona wakati mwingi Lui alikuwa akipambanan na msitu wa wachezaji. Kwenye gemu ya kwanza eto alimchezea rafu ambayo jose aliitetea, but eto aliomba msamaha na kusema kwamba kocha anataka awe more physical!
Matokeo ya jose kumtaka eto kuwa physical wote tumeyaona kwenye mechi yao na ATM
Kwenye mahojiano ya kabla ya mechi ya kwanza jose aliulizwa kuhusu lui na alijibu kwamba angefurahi kusikia Lui ni majeru ili asecheze dhini ya Chelsea. Nagusia vitu hivi ili kuonyesha kwamba they guy is deadliest mpaka anahofiwa na makocha wa timu kubwa kama Chelsea.
Contribution
Pale juu nilitangulia kusema usiipangue listi yangu kwasababu mimi ndiyo najua kwinini nilipanga hivyo. Kazi ya kublock mara nyingi ni ya defenders, mid wana kazi ya pasi ya mwisho, strikes ni wamaliziaji. Ukiangalia hivyo vyote vitatu ambavyo vinatikiwa kufanywa na watu watatu tofauti, Lui amefanya peke kiasi cha hata kufikia kuwashinda wahusika halisi. Lui amecheza blocks 3 higher than any striker, he got 12 assist which is higher than any BPL player. Kinachooneka hapa ni kwamba pale alipogundua kwamba kuna ugumu wa yeye kufunga then alitumia uwezo wake wa tofauti kuisaidia timu yake na kuwaacha wengine kufunga. He has been unselfish which is 100% professional.
Ukiachilia mbali hayo yaliyokuwa yakijadiliwa kwenye ESPN analysis, but here we are talking about the guy who scores 31 goals in 32 games. Kwa lugha nyingine unaweza kusema kwamba amefumania nyavu kwenye kila mchezo! Aguero ana goli 17 kwa game 23, average of 0.7 wkati Lui ana average ya 0.97
Kun is a plays direct na kutokana na hilo he is predictable
Lui is not predictable at all na kutokana na hilo tumeshuhudia Lui akifunga magoli kwa style nyingi. Mimi sikumbuki kumuona Aguero akifunga kwa kichwa au free kick na ukifuatilia utaona magoli yake niya kufanana sana tofauti na Lui . Sylvain Distin na kompany waliwahi kumtaja Lui kwamba ni mshambuliaji asiye tabirika. Ashley Williams (Beki wa Swansea) kwenye kitabu chake alichokitoa hivi karibu amemtaja Lui kama striker msumbufu!
Hapa tunamuongelea mwanasoka bora wa BPL 2013/14. If it was not for the biting incidence then, hakuna shaka kwamba angekuwa mwanasoka bora wa BPL 2012-13 as well.
ANGEWEZA KUWA MWANASOKA BORA MARA MBILI MFULULIZO NDANI YA MISIMU MIWILI NUSU ALIYOCHEZA KWENYE BPL!
Kumbuka kwamba zawadi hii ni kutokana na kupigiwa kura na wachezaji wenzake. Hapa ina maana wachezaji wanzake ambao amekuwa akipambana nao uwanjani week in week out, wamemkubali na kunyoosha mikono!
Apart from that Lui amekuwa mwanasoka bora wa mwaka kwa FWA. Hii ni zawadi inayopatika kupitia kura za waandishi wa habari wasiopungua 300!
Kwa mwaka huu, so far Lui ana tuzo 5!
Hakuna wa kufanana naye...ABSOLUTELY NO ONE!!
Mkuu huo Ni ukweli Suarez Ni Wa TIMU ndogo tu! Ktk hili tusiweke mapenzi ya kishabiki!
Aguero Yuko Vzr Na
Dzeko akifatia!