My first 11 for bpl season 2013-14

My first 11 for bpl season 2013-14

Hii imekaa vizuri. Ila Ambacho sikioni hapo ni uongozi sanasana kwenye beki yako..mkeka umetulia...
1.joe hart
2.coleman
3.luke shaw
4.cahil
5.kosceinly
6.fernandinho
7.stearing
8.yaya toure
9.suarez
10.larana
11.hazard

sub:
Company
shneiderin
baines
sturridge
coutinho
de gea
 
1.De Gea
2.Coleman
3.Azpeculeta
4.Cahill
5.Kompany
6.Fernandinho
7.Suárez
8.Toure
9.Aguero
10.Silva
11.Hazard
 
[FONT=Helvetica, Arial, lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif] mimi ningechagua hivi[/FONT]
[FONT=Helvetica, Arial, lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]goalkeeper julian speroni(crystal palace) [/FONT]
[FONT=Helvetica, Arial, lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]defenders seamus coleman(everton), luke shaw(Southampton),Gary cahil na john terry(chelsea)
midfielders adam lallana(Southampton),steve gerrard(liverpool),yaya toure(man c) na Aaron Ramsey(arsenal)
foward suarez na sturridge(liver)
[/FONT]
 
He is one of the best goalkeepers, hiyo inajulikana

Mabeki: Zabaletta, Cahill, Terry, Cesar Azpilicueta.
Unapenda beki za Chelsea ila naona kama Ivanovic is better than Zabaleta. Tumeshuhudia akifunga magoli mengi ya kichwa, that mean ni mzuri sana kwa mipira ya juu. Anakaba vizuri kuliko Zaba. I like Azp ila tatizo lake ni panic na hasira...mourinho alishawahi kueleza kuhusu tatizo hilo la Azp. Kama ulikuwa unataka kuchanganya young and experience may be ungemchukua Gael? (Wazo)

Viungo(wa kukaba): Matic na Yaya Toure.
Hii imekaa vizuri.

Viungo(offensive): Hazard, Suarez, Silva.
Nina wasiwasi hapa kidogo kwasababu wote wanapenda dribbling. Hii inaweza kusababisha upotevu wa mipira na ufinyu wa penetration passes. Kwasababu hao wote wanapenda kuinga katikati then hiyo itasababisha timu yako kukosa crosses za kumlisha striker wako. Kwenye benchi unaye nasri, labda ungemtumia huyo badala ya Silva? (Wazo)

Striker: Edin Dzeko.
One of the best…
 
Duuh...mkuu hii timu yako ni kiboko. Naomba unisaidie kitu kimoja. Nitengenezee ambayo Rooney atakuwepo...if possible
1.De Gea
2.Coleman
3.Azpeculeta
4.Cahill
5.Kompany
6.Fernandinho
7.Suárez
8.Toure
9.Aguero
10.Silva
11.Hazard
 
Mkuu umetisha!!
[font=helvetica, arial, lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif] mimi ningechagua hivi[/font]
[font=helvetica, arial, lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]goalkeeper julian speroni(crystal palace) [/font]
[font=helvetica, arial, lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]defenders seamus coleman(everton), luke shaw(southampton),gary cahil na john terry(chelsea)
midfielders adam lallana(southampton),steve gerrard(liverpool),yaya toure(man c) na aaron ramsey(arsenal)
foward suarez na sturridge(liver)
[/font]
 
Mkuu agosti 8 Unajua mleta mada inabidi tukubali maoni yake lkn HAYO Ni maoni kutokana Na mtizamo wake!

Mimi ningependa tuangalie kila nafasi ya mchezaji Na tulinganishe kwa kila mchezaji Wa TIMU Karibu zote! Mi Nafikiri tukifanya hivyo tutapata TIMU Nzuri!
 
Last edited by a moderator:
MFANO tukianza Na makipa! Kuna makipa wengi sandbanks Vzr lkn hasa Wa TIMU KUBWA walifanya Vzr! Kipa Wa Man City, Kipa Wa Chelsea Na Kipa Wa Liverpool!

Kwa makipa Ni vema wakatoka ktk TIMU hizo!

Beki ya kulia hapa tuangalie kwa Zabareta, Ivanovic Na Sagna.

Beki ZA kushoto hapa kwa msimu Huu Azpiricuita kawafunika wote. Wasaidizi wake mtanisaidia Na nyie!

Beki ZA Kati ndio kwenye SHUGHULI haswa! Cahill na Terry Na Kompony Na Metusaka Hawa lazima tuwapange!

Kwa viungo wakabaji PANA kz sn tena hapa! Matic, Fenandinho, Henderson Na Ramsey Hawa nao tuwachukue!

Viungo washambuliaji Wa Kati Na pembeni. Hapa tena Yaya Toure, Stive G, Hazard, Silva, Willian, Raheem Sterling, Coutinho Na Walcott.

Strikers Ni Suarez, Dzeko, Aguero.

Sasa kz kwenu kuchambua ktk hao wachezaji Na hizo TIMU mpange Hiyo FIRST ELEVEN.

Everton Na Spurs kuna wachezaji wazuri lkn Mara nyingi walikua wakifanya makosa basi ubora WAO unapotea kabisa!

Man utd hana Chake msimu Huu!
 
Majeruhi yamemuaribia mkuu, ila hata mimi namkubali sana...did you see his goal against Norwich? That was AMAZING!!

Yule boy mara hii alikua achukue tuzo kama si majeruhi ila sijua msimu ujao itakuwaje kwa sababu wachezaji wengine hung'ara kwa msimu
 
Mkuu ntuzu amani kwako.

Inapendeza kuona familia ya wapenda soka ina watu wastaarabu na makini kama wewe. Hakuna taabu katika kuonyesha upenzi ila most of the time umekuwa ukiongea ukweli.

MCHANGO WAKO UNATHAMINIWA

Noamba niende sambamba na options ulizotupa

Kipa-Umeturuhusu kwa Man city, Chelsea na Liverpool. Nachukua wa
MAN CITY

Beki wangu wa kulia ni
IVANOVIC

Kushoto sichangii kwasababu hujaniruhu kuchagua. Kwahiyo anabaki
AZP

Beki za kati umenipa option ambayo ni combination yangu
KOMPANY & PER

Kwa viungo wakabaji uliyotupa nachagua
FENA & RAMSEY

Kutoka kwenye list yako ya viungo washambuliaji nachagua
HAZARD, STIVE G & YAYA TOURE

Striker
SUAREZ

Kwa ishu ya Everton na Spurs naomba uwafikirie Baines, Coleman, ross Barkley na christian eriksen

Kwa mshetani wekundu vilevile siyo vibaya ukawafikiria da gea, januzaj na rooney
MFANO tukianza Na makipa! Kuna makipa wengi sandbanks Vzr lkn hasa Wa TIMU KUBWA walifanya Vzr! Kipa Wa Man City, Kipa Wa Chelsea Na Kipa Wa Liverpool!

Kwa makipa Ni vema wakatoka ktk TIMU hizo!

Beki ya kulia hapa tuangalie kwa Zabareta, Ivanovic Na Sagna.

Beki ZA kushoto hapa kwa msimu Huu Azpiricuita kawafunika wote. Wasaidizi wake mtanisaidia Na nyie!

Beki ZA Kati ndio kwenye SHUGHULI haswa! Cahill na Terry Na Kompony Na Metusaka Hawa lazima tuwapange!

Kwa viungo wakabaji PANA kz sn tena hapa! Matic, Fenandinho, Henderson Na Ramsey Hawa nao tuwachukue!

Viungo washambuliaji Wa Kati Na pembeni. Hapa tena Yaya Toure, Stive G, Hazard, Silva, Willian, Raheem Sterling, Coutinho Na Walcott.

Strikers Ni Suarez, Dzeko, Aguero.

Sasa kz kwenu kuchambua ktk hao wachezaji Na hizo TIMU mpange Hiyo FIRST ELEVEN.

Everton Na Spurs kuna wachezaji wazuri lkn Mara nyingi walikua wakifanya makosa basi ubora WAO unapotea kabisa!

Man utd hana Chake msimu Huu!
 
Mkuu ntuzu amani kwako.

Inapendeza kuona familia ya wapenda soka ina watu wastaarabu na makini kama wewe. Hakuna taabu katika kuonyesha upenzi ila most of the time umekuwa ukiongea ukweli.

MCHANGO WAKO UNATHAMINIWA

Noamba niende sambamba na options ulizotupa

Kipa-Umeturuhusu kwa Man city, Chelsea na Liverpool. Nachukua wa
MAN CITY

Beki wangu wa kulia ni
IVANOVIC

Kushoto sichangii kwasababu hujaniruhu kuchagua. Kwahiyo anabaki
AZP

Beki za kati umenipa option ambayo ni combination yangu
KOMPANY & PER

Kwa viungo wakabaji uliyotupa nachagua
FENA & RAMSEY

Kutoka kwenye list yako ya viungo washambuliaji nachagua
HAZARD, STIVE G & YAYA TOURE

Striker
SUAREZ

Kwa ishu ya Everton na Spurs naomba uwafikirie Baines, Coleman, ross Barkley na christian eriksen

Kwa mshetani wekundu vilevile siyo vibaya ukawafikiria da gea, januzaj na rooney

Mkuu osokonoi kwa Januzaj Mimi binafsi ndio naona Ni mchezaji bora kwa Man Utd kwa msimu Huu uliopita!

KWELI Spurs Na Everton kuna wachezaji wazuri tu lkn lazima tuangalie vigezo vingi ktk kuwachagua! Kwa MFANO wameweza kudumu ktk viwango hivyo hivyo msimu wote?

Tukija ktk hicho kikosi chako umepanga Vzr sn! Ata mimi nakubaliana Na wewe! Lkn ktk nafasi ya Striker Suarez Mimi siwezi kumpanga ktk kikosi CHA kwanza! Kwasababu ndogo tu! Suarez anapokutana Na TIMU KUBWA hua anapotea kabisa! MFANO, walipokutana Na Chelsea alifanya nini? Au walipokutana Na City? Au Arsenal, Man Utd? Kwahiyo utaona kabisa Suarez alipwaya Kwa hizi game Na hasa akikutana Na beki nguli!

Mi Kwa mtazamo wangu Aguero Wa Man City anafaa sn ktk striker BPL.
 
hahah umenfurahisha kwa suarez kuna kaukwel ndani yake na niliwahi kulisema ila vijogoo vikaja juu sana,yan yeye norwich,cardif,fulham n.k ila timu kubwa anakuwa nyuki la mashine
 
Mkuu huo Ni ukweli Suarez Ni Wa TIMU ndogo tu! Ktk hili tusiweke mapenzi ya kishabiki! Aguero Yuko Vzr Na Dzeko akifatia!
 
Last edited by a moderator:
He is one of the best goalkeepers, hiyo inajulikana

Unapenda beki za Chelsea ila naona kama Ivanovic is better than Zabaleta. Tumeshuhudia akifunga magoli mengi ya kichwa, that mean ni mzuri sana kwa mipira ya juu. Anakaba vizuri kuliko Zaba. I like Azp ila tatizo lake ni panic na hasira...mourinho alishawahi kueleza kuhusu tatizo hilo la Azp. Kama ulikuwa unataka kuchanganya young and experience may be ungemchukua Gael? (Wazo)

Hii imekaa vizuri.

Nina wasiwasi hapa kidogo kwasababu wote wanapenda dribbling. Hii inaweza kusababisha upotevu wa mipira na ufinyu wa penetration passes. Kwasababu hao wote wanapenda kuinga katikati then hiyo itasababisha timu yako kukosa crosses za kumlisha striker wako. Kwenye benchi unaye nasri, labda ungemtumia huyo badala ya Silva? (Wazo)

One of the best…

asante mkuu; tungekuwa tunajadili hivi kila siku JF kweli ingekuwa home of great thinkers.
Maoni yako ni very constructive.. asante OSOKONOI.
 
Nafikiri kabla hujapangua listi yangu naomba ungalie jinsi nilivyoipanga.

Nakubali kwamba Aguero anakiwango kizuri but kwa msimu huu no one is like Suarez. HILO HALINA UBISHI.

Nakumbuka kuna siku ambayo nilikuwa naangalia football analysis ya ESPN na wakawa wanajadili games ambazo Lui ameonekana kutokufanya vizuri. Baada ya majadiliano ya muda, kilichoonekana na kwamba hakuna gemu ambayo Lui alichemsha!

Unfamiliar position
In order to accommodate the formation of 4-3-3, BR alijikuta anamchezesha Lui on unfamilia position. Kama utagundua Lui alikuwa anacheza wing ya kushoto ambayo siyo nafasi yake. BR alifanya hivyo ili kumpa sturridge advantage na mazoea ya kufunga sababu ndiyo striker tegemeo la England na alikuwa akipewa maandalizi ya WC.

Man Making
Kwa maelezo waliyoyatoa kwa wakati ule Lui alikuwa anaongoza kwa kuwa mchezaji aliyechezewa rafu nyingi zaidi. Hii iliyonyesha kwamba managers wa timu pinzania walikuwa na mkakati wakuhakikisha kwamba hapati nafasi. Hii ilionekana zaidi kwenye mechi zote mbili za Liverpool na Chelsea. If you look into images za gemu ya pili utaona wakati mwingi Lui alikuwa akipambanan na msitu wa wachezaji. Kwenye gemu ya kwanza eto alimchezea rafu ambayo jose aliitetea, but eto aliomba msamaha na kusema kwamba kocha anataka awe more physical!

Matokeo ya jose kumtaka eto kuwa physical wote tumeyaona kwenye mechi yao na ATM

Kwenye mahojiano ya kabla ya mechi ya kwanza jose aliulizwa kuhusu lui na alijibu kwamba angefurahi kusikia Lui ni majeru ili asecheze dhini ya Chelsea. Nagusia vitu hivi ili kuonyesha kwamba they guy is deadliest mpaka anahofiwa na makocha wa timu kubwa kama Chelsea.

Contribution
Pale juu nilitangulia kusema usiipangue listi yangu kwasababu mimi ndiyo najua kwinini nilipanga hivyo. Kazi ya kublock mara nyingi ni ya defenders, mid wana kazi ya pasi ya mwisho, strikes ni wamaliziaji. Ukiangalia hivyo vyote vitatu ambavyo vinatikiwa kufanywa na watu watatu tofauti, Lui amefanya peke kiasi cha hata kufikia kuwashinda wahusika halisi. Lui amecheza blocks 3 higher than any striker, he got 12 assist which is higher than any BPL player. Kinachooneka hapa ni kwamba pale alipogundua kwamba kuna ugumu wa yeye kufunga then alitumia uwezo wake wa tofauti kuisaidia timu yake na kuwaacha wengine kufunga. He has been unselfish which is 100% professional.

Ukiachilia mbali hayo yaliyokuwa yakijadiliwa kwenye ESPN analysis, but here we are talking about the guy who scores 31 goals in 32 games. Kwa lugha nyingine unaweza kusema kwamba amefumania nyavu kwenye kila mchezo! Aguero ana goli 17 kwa game 23, average of 0.7 wkati Lui ana average ya 0.97…Kun is a plays direct na kutokana na hilo he is predictable…Lui is not predictable at all na kutokana na hilo tumeshuhudia Lui akifunga magoli kwa style nyingi. Mimi sikumbuki kumuona Aguero akifunga kwa kichwa au free kick na ukifuatilia utaona magoli yake niya kufanana sana tofauti na Lui . Sylvain Distin na kompany waliwahi kumtaja Lui kwamba ni mshambuliaji asiye tabirika. Ashley Williams (Beki wa Swansea) kwenye kitabu chake alichokitoa hivi karibu amemtaja Lui kama striker msumbufu!

Hapa tunamuongelea mwanasoka bora wa BPL 2013/14. If it was not for the biting incidence then, hakuna shaka kwamba angekuwa mwanasoka bora wa BPL 2012-13 as well.

ANGEWEZA KUWA MWANASOKA BORA MARA MBILI MFULULIZO NDANI YA MISIMU MIWILI NUSU ALIYOCHEZA KWENYE BPL!

Kumbuka kwamba zawadi hii ni kutokana na kupigiwa kura na wachezaji wenzake. Hapa ina maana wachezaji wanzake ambao amekuwa akipambana nao uwanjani week in week out, wamemkubali na kunyoosha mikono!

Apart from that Lui amekuwa mwanasoka bora wa mwaka kwa FWA. Hii ni zawadi inayopatika kupitia kura za waandishi wa habari wasiopungua 300!

Kwa mwaka huu, so far Lui ana tuzo 5!

Hakuna wa kufanana naye...ABSOLUTELY NO ONE!!
Mkuu huo Ni ukweli Suarez Ni Wa TIMU ndogo tu! Ktk hili tusiweke mapenzi ya kishabiki! Aguero Yuko Vzr Na Dzeko akifatia!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana mkuu agosti 8
Hata mimi nimekuwa nikikuona katika chambuzi mbalimbali. Unafahamu unachokisema na unakosoa pale panapohitajika kukosolewa. Tuendelee kujuzana na kueleweshana.
RESPECT kwako mkuu agosti 8!
asante mkuu; tungekuwa tunajadili hivi kila siku JF kweli ingekuwa home of great thinkers.
Maoni yako ni very constructive.. asante OSOKONOI.
 
Back
Top Bottom