Mwana michezo mwenzenu najitokeza kuwapa hongera sana Man City kwa kuwa mabingwa wa BPL mara mbili ndani ya misimu mitatu. WAMESTAHILI!
Ukiachiliambali Man city kuwa mabingwa lakini vilevile kuna timu zingine ambazo mimi naona zinastahili pongezi za ziada.
Liverpool;- Tumishuhudia wakicheza kandanda safi na kufanya kile ambacho hakikutarajiwa na wengi. Ligi ilipoanza wachambuzi wote wa soka hawakuipa Liverpool nafasi yoyote na tulikuwa tukiona wakibishana kwamba nani atakuwa bingwa kati ya Man U, Chelsea, Man City, ama Arsenal. Sidhani kama lilikuwa ni kosa hasa ukizingatia Suarez alikuwa anaonekana kuwa unsettled. Timu ilikuwa haina budget kubwa na kushindwa kununua wachezaji kama Diego Costa, Henrikh Mkhitaryan etc. Ila juhudi na mfumo sahihi kwa wacheza waliyokuwepo vimeonekana kuwa suluhisho.
Sunderland;- Ligi ikiwa imefikia katikati ya mwezi wa nne, timu hii ilikuwa mkiani. Kuwa wa mwisho haikuwa hoja sana kwa wakati ule ila mechi zilizokuwa mbele yao ndiyo zilikuwa zinaleta hisia kwamba wanaweza wakateremka daraja. Wamefanya kinyume na mawazo ya wengi na wanastahili pongezi.
Everton;- Watu wanaweza kusema kwamba Moyes aliicha Everton katika hali nzuri ila hakuna ubishi kwamba Martinez amebadilisha kwa kiasi kikubwa uchezaji wa timu yake. Msimu uliyopita tuliona Moyes akitegemea sana long balls and crosses to big guys like Fellaini. Lakini msimu huu tumeona magoli vilevile yakipatikana kwa move za katikati kupitia kwa McCarthy, Leon osman, Deulofeu & ross Barkley his goals against Newcastle and Man city should compete for the BPL goal of the season!
Southampton;- Katika gemu zote za Southampton nilizoziangalia, hakuan hata mechi moja ambayo siku enjoy. Hatuoni majina makubwa katika timu hii ila spirit na ufundi wa kiwango kizuri. Njia pekee ya timu kupata mafanikio ya ufundi and football fluidity tuliyoiona ni kufanya investment kwa vijana wadogo. Academy ya Southampton imetuletea Theo Walcott, Oxlade Chamberlain, Gareth Bale na sasa the likes of Lallana na Luke Shaw
Nimetaja timu chache lakini najua na wewe unazo ambazo ungependa kuziongelea uwanja ni wako
Apart from teams BPL 2013-14 imetupa burudani ya kuona vipaji binafsi. Kuna vile tulivyovitarajia na kuna vingine hatukuvitarajia.
After saying that then, below is my best 11 for BPL 2013/14
Goal Keeper; - JOE HART
Defenders; - SEAMUS COLEMAN, PER MERTESACKER, VICENT KOMPANY & LEIGHTON BAINES
Midfield; - EDE HAZARD, STEVEN GERRERD, YAYA TOURE & ADAM LALLANA,
Strikers; - SERGIO AGUERO & LUIS SUAREZ