My father is a tribalist

My father is a tribalist

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
182
Reaction score
74

Dear Jamii forum

I am in a relationship with a woman i love,and who love me too, the only problem is that he is from a different tribe and my parents are against inter-ethnic marriages.at first i thought they were not serious.

But my father has made it clear that none of his four children will marry a "mkabila" and that he will disown whoever goes against his wishes. Ilove this lady and i have never told him anything about this, do i disobey my tribalist father or leave the woman in my life?

rawasen_jr
njiro-r chugga
 
Rawasen

Baba Ana maisha yake na wewe ishi yako .. Heshimu mawazo yake kadri unavyoweza ila tambua ukikosea kuoa utaharibu future yako wewe mwenyewe oa mtu ambae unanednana nae na kupendana nae kama unahisi Una fit kwa mtu ambae sio kabila kua nae ..

Mshirikishe mungu kwenye maamuzi yako sidhan kama mungu ataruhusu laana ya Baba yako ikupate kwakua eti umeamua kua uhuru kuchagua ..

Maybe mwenyezi mungu amekuchagua wewe ili ubadilishe mawazo Baba ako sometimes hapa duniani tunajifunza kwa hard way .. Na you have to accept the challenges..
 
Last edited by a moderator:
Ukichungua ndani sana huwa kuna maana ya kuoa kabila moja zipo sababu za msingi pia, mfano familia mliyo tarajia kuinzisha hupendeza zaidi watoto mtakao kuwa nao wakijifunza kujua lugha ya kabila yao, mila na desturi. Kuna swala la kuhandle wageni wa ukoo wenu na kadhalika. Kuhusu mzee wako siwezi mhukumu kwa tabia yake inafaa kurudi nyuma na kuangalia yeye alifunzwaje!
 
Naona umekuwa na akili nyingi kumzidi baba yako hadi unaquestion maamuzi yake.

Ukitaka kufanikiwa, wasikilize wazazi wako wala haitakuondolea thamani yako kama mwanaume.

Maisha ni zaidi ya hizo fantasy za mapenzi. Think about your future life, parents na familia yako kwa ujumla then utamwelewa mzee wako anasema nini.
 
Rawasen

Wewe ndo unaoa ama wazazi wako ndio wanaooa
 
Last edited by a moderator:
Baba Ana maisha yake na wewe ishi yako .. Heshimu mawazo yake kadri unavyoweza ila tambua ukikosea kuoa utaharibu future yako wewe mwenyewe oa mtu ambae unanednana nae na kupendana nae kama unahisi Una fit kwa mtu ambae sio kabila kua nae ..

Mshirikishe mungu kwenye maamuzi yako sidhan kama mungu ataruhusu laana ya Baba yako ikupate kwakua eti umeamua kua uhuru kuchagua ..

Maybe mwenyezi mungu amekuchagua wewe ili ubadilishe mawazo Baba ako sometimes hapa duniani tunajifunza kwa hard way .. Na you have to accept the challenges..
Unauhakika gani kama hiyo ni laana na si Baraka!? Msipende kuhukumu wakati kwenye vitabu vyenu mnajifunza kutohukumu bila uthibitisho. Mzee kuwa na mawazo hayo huenda anazo sababu za msingi kabisa, uwenda zikawa tofauti na jinsi mleta uzi alivyo wakilisha kwetu, maana nae kisha muhukumu baba yake bila kuelezea sababu halisi.
 
Man up a and educate him. If he refuses to understand then stand your ground like a honey badger. Its your life, not his.
 
Tatizo humu tumo tusiojua kingereza ungeandika kwa kiswahili tungeliweza kukusaidia cha kufanya.
 
Only thing my Dad ever told me about a woman i should marry was to be careful with the genes she will bring to the family.
 
Rawasen

Baba Ana maisha yake na wewe ishi yako .. Heshimu mawazo yake kadri unavyoweza ila tambua ukikosea kuoa utaharibu future yako wewe mwenyewe oa mtu ambae unanednana nae na kupendana nae kama unahisi Una fit kwa mtu ambae sio kabila kua nae ..

Mshirikishe mungu kwenye maamuzi yako sidhan kama mungu ataruhusu laana ya Baba yako ikupate kwakua eti umeamua kua uhuru kuchagua ..

Maybe mwenyezi mungu amekuchagua wewe ili ubadilishe mawazo Baba ako sometimes hapa duniani tunajifunza kwa hard way .. Na you have to accept the challenges..

Thanks Bro For Your Advise
 
Last edited by a moderator:
Tatizo humu tumo tusiojua kingereza ungeandika kwa kiswahili tungeliweza kukusaidia cha kufanya.


Issue Ni Ndogo Familia Yangu Ni Ya Kichaga Tatizo Haitaki Nioe Tofauti Na Mchaga
 
Sema na Moyo wako, kisha angalia uhusiano wako na Mungu. Mke mwema utampata kwa Bwana
 

Dear Jamii forum

I am in a relationship with a woman i love,and who love me too, the only problem is that he is from a different tribe and my parents are against inter-ethnic marriages.at first i thought they were not serious.

But my father has made it clear that none of his four children will marry a "mkabila" and that he will disown whoever goes against his wishes. Ilove this lady and i have never told him anything about this, do i disobey my tribalist father or leave the woman in my life?

rawasen_jr
njiro-r chugga

atakua m-mbulu huyo
 
Halafu wenye mawazo mgando namna hiyo wanataka wapewe nchi.
 
Hvi bado kuna watanzania wenye ubaguzi wa makabila mpaka karne hii ya 21?
 
Kijana kwa kuwa unampenda sana mchumba wako basi unaanzakumpa ‘names' baba yako, hiyo acha maana kwenye mapenzi unaweza hata ukawaunamueleza mpenzi wako kuwa baba mkabila, acah kwani baadaye yanawezakukurudia. Wewe ndio uko kati ujue kucheza kati yako na mchumba wako na wazaziwako. Kwanza nikuulize je baba yako amakwisha muona mchumba wako. Inaweza kuwasio kabila labda kanote tabia Fulani. All in all wewe ndio utakaemuoa. Sasa:

  1. Kama unampenda mchumba wako basi weka msimamokwa namna yoyote huyo ndiye utakaemuoa.
  2. Usiweke chuki kwa mzazi wako kwani akisema hivyoanakuwa na sababu,kwani kuoana mila zinazotofautiana sanaaa chimbuko lamatatizo linaanza
  3. Mfundishe mchumba wako mila kadhaa na taratibula kabila lenu
Mara nyingi wazazi huwa wanawaprotect watoto wao kupitakiasi and believe me or not kwa mzazi mototo hakui.
Hivyo kama unampenda huyo mchumba wako weka msimamo. Jaribukuwainfluence wazazi wako, naamini watamkubali tu. Kwani wewe ndio utakayeishinae maisha yote hivyo unahitaji mwenza unaempenda, anaekupenda na mtakayeelewana nae. With time utafanikisha. All the best .

 
Back
Top Bottom