Don't try brother just go for it. Hawa wazee wetu huwa wana mambo Mengi ambayo kwa bahati mbaya vijana wa siku hizi hampati nafasi ya kuyasikia. Wao wana base maamuzi yao kutokana na time tested experience. Hivyo ukikaa naye utajua hoja zake za msingi kwa nini anadhani kuwa si vyema kwa kijana wake kuoa nje ya kabila lenu.Am Gonna Try
Don't try brother just go for it. Hawa wazee wetu huwa wana mambo Mengi ambayo kwa bahati mbaya vijana wa siku hizi hampati nafasi ya kuyasikia. Wao wana base maamuzi yao kutokana na time tested experience. Hivyo ukikaa naye utajua hoja zake za msingi kwa nini anadhani kuwa si vyema kwa kijana wake kuoa nje ya kabila lenu.