The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
-
- #41
Kiubwete ?niliteseka sanani kajua ulitumia elimu yako kuwa mbunifu kumbe ulienda kuomba kazi. sasa mimi la saba nime kuzidi nimeajiri watu 14 hapa. wewe mtoto wa mama umepata kazi ki ubwete. hapo posta jamaa zangu walikuwa wana maliza soli na mashati yanageuka brown badala ya white kwa jua la jiji
Yep ni kipindi cha bwana wa chalinzeKama ni kipindi cha bwana yule wa chalinze ni sawa. ila kama ni kipindi cha bwana huyu malaika mkuu itakuwa ni chai mana hajatoa kazi yoyote zaidi ya hao walimu ambao waliita matangazo hadi ya BBC
lkn hata hivyo haya sio mashindano chief, zote hizo simple na complex zinatoa mafunzo kwa watu.Mkuu story yake ni very simple binafsi yangu nikiandika ya kwangu ipo very complex.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini aifute?Shukuru mapema tu ulipata kazi wenzako wanamiaka wanasota kitaa huku wakikuelezea story zao hii yako utaifuta makwambia
Hongera kwa kupata kazi ila stori yako ya kawaida saana katika utafutaji.(Ila kwasababu kichwa cha uzi ni Your experience ni sawa)Ndio ntatoka kwani nilikuwa maarufu sana pale stand
Wamama wauza matunda ,wauza vocha na wasajili line,wauza viatu waligeuka rafiki zangu
Hadi leo nikienda kaskazin lazima nipite pale kuwasalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani CV ni nini chief?Hivi mtu umemaliza chuo tu, tayari una CV?
Sikuwa na hata senti zaidi ya nauli ya kurudi nyumbani,ndomana nilipokabidhi kitabu changu tu siku ilofata nikapanda basi nikarud nyumbanihongera mkuu, ulimaliza miaka ipi? na ulibyomalZa ulkua na ammount gan bank?
mnanishangaza nyie watu!!Kuna watu wakiweka story zao hapa yako utaifuta :
YepUnajivunia kufanya kazi serikalini? Pathetic
[emoji30][emoji30][emoji30]Kama ni kipindi cha bwana yule wa chalinze ni sawa. ila kama ni kipindi cha bwana huyu malaika mkuu itakuwa ni chai mana hajatoa kazi yoyote zaidi ya hao walimu ambao waliita matangazo hadi ya BBC
hahaha aiseeni kajua ulitumia elimu yako kuwa mbunifu kumbe ulienda kuomba kazi. sasa mimi la saba nime kuzidi nimeajiri watu 14 hapa. wewe mtoto wa mama umepata kazi ki ubwete. hapo posta jamaa zangu walikuwa wana maliza soli na mashati yanageuka brown badala ya white kwa jua la jiji
Kabisa mie sijashare kushindana na mtulkn hata hivyo haya sio mashindano chief, zote hizo simple na complex zinatoa mafunzo kwa watu.
ukiweka yako pia naomba unitag tafadhali.
kabisaKuona tatizo la vijana wengi kufikiria maisha ni Dar tu, ukiwa na elimu mikoani kuna opportunities.
Sawa mkuu ntapita DecemberHongera kwa kupata kazi ila stori yako ya kawaida saana katika utafutaji.(Ila kwasababu kichwa cha uzi ni Your experience ni sawa)
Kuna watu wamepigika ukisimuliwa unafunga mdomo. Ila sio sifa kupata shida.
Bado nipo hapa stand ukija njoo uniungishe.
Kwa hiyo ndiyo ukawa unamhonga yule marioo?
Hahahah acha hayo banaKwa hiyo ndiyo ukawa unamhonga yule marioo?
Ni simple mnoo kuna watu wametaabika saanaMkuu story yake ni very simple binafsi yangu nikiandika ya kwangu ipo very complex.
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo waTZ wanafanya/wanataka kuhangaika na maisha iwe kama mashindano....yani wanataka usimulie sijui ulisota sana ukahangaika wee hadi ukafanikiwa,Mkuu acha kejeli
Mtu kaamua ku share na sisi emu muache mi sijaona majivuno ya mleta mada
Afu kuhangaika na maisha sio mpaka ichukue miaka 20 hata mwaka mmoja tu unatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaMkuu naomba kuuliza hivi walikua hawakuulizi GPA wakat wa kuisoma cv?
Sent using Jamii Forums mobile app