Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,506
- 5,543
- Thread starter
- #21
Sure man,Najizuiaje nisimfikirie?Kuna namna ya kujizuia.Nipe mbinu hapa?Don't focus on what you don't want...
Ukipendi ktu usiwe unakiwazia automatic huwa kinaondoka....Sasa hupendi hcho kitu alafu unakiwazia afu uzuri unamke mwengne unapata wapi muda wa kufikiria huo ujinga badala ya mkeo wa Sasa...
Ata Mungu mwenyewe hawezi kumuhurumia mtu asie jihurumia yeye mwenyewe....wewe nani leo ujifanye unahuruma kiasi hcho,unachokitafuta utakipata mkuu....