olym
JF-Expert Member
- Jul 25, 2019
- 265
- 454
Umenielewa sana nimeshindwa ata kuhadisia vizur sababu yakuchanganyikiwa Ila ww umenielewa...Anataka kumuoa mwanamke aliyempenda tangu wakiwa form 1, ambaye anaonekana anajiheshimu sana na hajawahi kumla hata kimasihara, Ila sasa kuna kaka wa ex wake anataka kumuoa na pia huyo ex wake anafanya juhudi za kuhakikisha anaolewa na kaka yake, sasa Yale mawazo ya kunyanganywa tunda yakampelekea kuota ndoto kuwa mchumba kaolewa na kaka wa ex, ndo kaja hapa tumshauri afanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kumuoa mwanamke aliyempenda tangu wakiwa form 1, ambaye anaonekana anajiheshimu sana na hajawahi kumla hata kimasihara, Ila sasa kuna kaka wa ex wake anataka kumuoa na pia huyo ex wake anafanya juhudi za kuhakikisha anaolewa na kaka yake, sasa Yale mawazo ya kunyanganywa tunda yakampelekea kuota ndoto kuwa mchumba kaolewa na kaka wa ex, ndo kaja hapa tumshauri afanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] haka kamyama kanaonekana kanadharau sana.
huwezi kufanya summary hivi?Habari za wakati huu wapendwa?,
Poleni na shughuli za unjenzi wafamilia bora!
Nielekee moja kwa moja katika mkasa wng huu..
Miaka 20 nyuma nikiwa form 1 nilimpenda mwanafunzi mwenzangu Ila kwa bahati mbaya kwangu nzuri kwake alinikataa, katika darasa ilo Ilo mkondo huo huo nilipendwa na mabint wengi sana Ila mmmoja alifanikiwa kunipata, nilianzisha mahusiano nae, ila nikili alibeba maumivu makubwa sana kwsbb Nilikua Nam chit waz waz na kumuingiza ktk visanga vizito sana, tulipofika kidato cha 3 Uyu ex na Yule binti niliempenda mwanzo wakawa marafiki wakubwa japo toka nilivokataliwa skuwahi kuongea na Yule Bint nilimchukia sana Ila walipokuwa marafiki niliona haina haja yakuendelea kumkaushia ivo nikawa namsalimia na nots namuomba,ukaribu ukaanza kurudi kidogo, Nilikua mtundu sana shuleni Kiasi Kila mwalimu alinijua na kunifatilia, Nilikua na madem kwanzia darasa lang had form 6, ! Mambo yaliendelea kawaida hatimae tukamaliza form 4..
Nakumbuka ile sku tunajaza form za kuchagua comb na shule Yule Bint alikuwa nyuma angu baada ya lile zoez niligeuka nyuma na kuomba # bila kuchelewa nilipewa haraka...nilifurahi sana na kujiona nabahati sana..tulianza mawasiliano ya Yule binti, mara zote alikua anaanzisha conversation yeye,asbh,mchna na jion..nilifurahi sana..ndan ya miez 3 nilianchana na ex wng Ila skuwa najua km alimwambia Yule binti km tumeacha,maisha yaliendelea, skuwa nimemtongoza Yule Bint Ila ukaribu uliongezeka zaid,matokeo yakatoka, Yule Bint akaniomba nimtizamie alikuwa amefaulu vizur kunizid mimi na ex wng,japo ex wng alipata daraja la 4, skuwa na habari tena na ex wng...hatimae cku moja asubuhi mapema naamshwa na Sim, Kumbe Yule Bint anapiga na kunambia selection zimetoka tumechaguliwa shule moja..niliona Huyu mwanamke Yupo kwenye Maisha yng..tukaanza form 5, ila ex wng Alienda mkoa Mwingine kusoma sijui alisoma nn.
Tukiwa form 5 Kuna mdada alimfuata Yule Bint na kumwambia ananipenda (nikili Huyu mdada alikua pini sijawahi kuona) skuwa na kipingamizi nianzisha uhusiano na Uyu niliekutananae form5 Ila aliniweza, nilimpenda sana japo mahusiano hayakuwa mazuri kwa muda wote mpka chuo mwaka wa 2 tuliachana rasmi..uyu Bint niliendelea kuwa na ukaribu zaid Kuna muda Tulikuwa km wapenzi kwa kipindi chote cha advance Ila haikuwa ivo ,,hatimae nikachaguliwa jkt..nikaenda alikuwa ananipigia Sim Kila cku kujua naendeleaje mpka coz ilipoisha,cku moja aliomba tukutane mjini akiwa na ex wng,nikamwambia km uko na uyo mtu hatuwezi kuonana,akanijib Zaman ilikuwa yy (akimaanisha ex wng) Ila saiv ni yy(yan Yule bint) Bhasi Alienda chuo mapema maana tuliomba vyuo tofauti na mm ulipofika mda nikaenda..
Mawasiliano yalizid tulipanga vingi sana, nikajikuta stamani tena ile tabia ya wanawake hivyo nilianza kuwakataa wengi niliotokanao advance,nilianza kumpenda rasmi Uyu Bint bila kumwambia, nilianza kujiaminisha pengine Huyu Ndio nilienae kwenye Maisha yng..2018 mwanzon haukuwa mzuri tuligomba gombana Ila mimi bado nilikuwa kwenye mahusiano na G Mwingine nilieahid ad kumuoa..hatimae tulupomaliza chuo nikamtafuta japo 2018 wasiliano yalipungua mno, 2019 mawasiliano yalirud km Zaman .kuna mapenzi makubwa katikat yetu..ananijua vizur, anaijua familia yng hasa,na mimi ivo ivo,Nataka kumfanya mke kabisa Ila Kuna sku nililala nikaota kuwa Yupo kwenye mahusiano na kk wa ex wng ambae ni Yule rafik ake,,nikamuuliza akanambia Ni kweli -rafikiake kwa kipind chote amekuwa anamshawishi amkubali Kaka yake Ila yy hakuwa tayar aikapelekea had hawaongei vizur, shida hii ndoto inanambia Uyu binti atakubali na mimi naumia nikama inanipa onyo Uyu binti Si wng...
Ikumbukwe mpka Leo cjamwambia kuwa nampenda...Ila nilimwambia Nko tayar kukuoa, ,na alionesha yuko tayar kabisa kuwa mke wng ...na hapo nilianza kuwa serious kumpenda na kumwangaikia hasa mpka akapata kazi..
Sasa hapa ninamgogoro wa nafsi, niachane nae au niendelee maana ni mtulivu na anajiheshimu sana na mimi ndoto zangu huwa zaukweli..Ex mpka saivu yuko kwenye process yakumtoa Uyu mtoto kwangu na kumpa kk ake.
Ahsante sana nduguyng,bonge moja la ushauriWapendwa wanaforums! wakati mwingine mtu anaandika kwa style kama hii ili wamjuao wasiweze kuconnects dots kwa hiyo kwa mchanganyiko wa miaka na matukio namna hiyo anakuwa amejificha identity yake!So mimi nachagua kuamini alichonarrate!
Back to you sivahdi haraka sana mwambie huyo dada unampenda, at least utakuwa umefanya hatua hata ukimkosa huna majuto ya kusema “ ningejaribu labda ningekubaliwa!”
Sasa wewe uko kwenye mahusiano ambayo hujui hata yanahusiana na nini? Mwanamke anasubiri kutamkiwa.
Huyo jasusi mpotezee😀😀
Story haieleweki, hujui kuandika, umesoma mpaka darasa la ngap??Habari za wakati huu wapendwa?,