My ex? Go home,you are drunk!!!


Mkuu ulitisha, shkuru hajakuibia manaake wengine wamepigika kweli angeondoka hata na remoti ya tv, siku nyengine usijiaminishe sana hivyo
 
HAYA YANATOKEA SANA.....siku nyingine ukiwa unapost thread ujitahidi kutaja wapi maana majina ya sehemu yapo mahali mahali hpa tz mnazi mmoja dar au wapi? ok pole sana...mahusiano yanapimwa na MUNGU.

asante sana na pole sana kwa kutokusoma thread yangu vizuri,sidhani kama kuna gongo la mboto nyingine hapa nchini tofauti na hii ya dar.niliandika stesheni kuelekea gongo la mboto
 

sina hata habari nae mkuu,kwani nimeshaoa tayari
 
Ba'mdogoo huyo mteme tuu. tena anaweza kua na magonjwa yake akakuletea!
jiulize kama ni mwanamke anayeshobokea magari, je model ngapi zimeshatoka na kupita? na kila mwenye model yake amempitia mara ngapi? na wewe ukurudi kwake utakuta nn?

kweli jombaa,manake jinsi anavyoonekana kama vile anatafuta hifadhi
 
Aaaah Sophy weeeee........kimekunukia Sophy.......kwa nini Sophy ulipanda vitara ya baba.........wanawake magari haya yatatuua jamani.......Sophy heri ungepanda Vogue au Q7 Sophy........aibu gani hii Sophy .........

preta inaumaa....hebu piga picha kama vile unaniona nanyang'anywa tonge mdomoni.nilichizi sababu ya sophy....yaani sikuamini kama vitu kama vile huwa vinatokea.
 
preta inaumaa....hebu piga picha kama vile unaniona nanyang'anywa tonge mdomoni.nilichizi sababu ya sophy....yaani sikuamini kama vitu kama vile huwa vinatokea.

pole sana wangu.....inauma usipime....halafu ukizingatia hapo maeneo palivyo na nyomi........raia zinazosoma tourguide........dah.....uliaibika mwanangu.....kumzengua vuta TD5......akome..........
 
Mkuu ulitisha, shkuru hajakuibia manaake wengine wamepigika kweli angeondoka hata na remoti ya tv, siku nyengine usijiaminishe sana hivyo
Ni kweli mkuu...wakati mwingine hawa viumbe wanazingua sana..
 
pole sana wangu.....inauma usipime....halafu ukizingatia hapo maeneo palivyo na nyomi........raia zinazosoma tourguide........dah.....uliaibika mwanangu.....kumzengua vuta TD5......akome..........

umejuaje wangu?....ila waliocheki mkanda live walikuwa wachache....wengi wao waliokuwepo hawakushangaa sana nadhani pengine walidhani labda yule alikuwa shemeji yangu tu na msela ndo alikuwa mwenye mali....nilitamanije nilifukuze gari?yaani kama kuna siku ningekuwa kichaa basi ni siku hiyo.eti leo ananipenda tena kwa dhati....kweli dunia shujaa ulimwengu chuo kikuu.wanawake,hapana nimewavulia kofia
 
Aaaah Sophy weeeee........kimekunukia Sophy.......kwa nini Sophy ulipanda vitara ya baba.........wanawake magari haya yatatuua jamani.......Sophy heri ungepanda Vogue au Q7 Sophy........aibu gani hii Sophy .........

Mbuzi hajui thamani ya mkia wake kwa vile ni mfupi hadi unapokatika ndo anaujutia.Ila jamaa anaweza akapiga yuu tani (U-turn) ndo maana hata pensil ina kifuto kwa ajili ya kufuta ili urekebishe pale ulipokosea. unaweza ukadhani wewe ndo wa kumtoa kimaisha kumbe yeye naye anajua mapito fulani yakakusaidia,Jamaa anaweza kudhani Sophy anatafuta pa kutokea kumbe ni otherwise.
 
Safi sana we chiboko na nimekupenda bure...mwenyewe akaona umemchukua na unaenda kumpa mambo muanze page mpya...haha we ni noma
 

kweli mkuu wengi wanaishi maisha ya maigizo..ma ex alikuwa ananipenda toka primary kibaya tukapoteana hadi kukutana chuo kikuu tukiwa kama marafiki baadae ghafla ananilazimisha tuingia kwenye relationshp kumbe ameshatendwa anataka kupunguzia stress kwangu..kweli wanawake wengine mitumba hawajielewi
 
...mtoto sophy anakuumiza moyo....anataka mgegedo coz kwa miaka 6 hajamfuma aliyefikia performance yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…