My ex gf's husband ananitishia maisha

My ex gf's husband ananitishia maisha

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Salaam wakuu, mimi ni Yule yule wa kanaida.

Huyu jamaa alinichukulia demu niliyekuwa nae kwenye uhusiano kwa miezi 18, alimdanganyadanganya na hela yake ya sembe, akamshawishi aitoe mimba yangu ili amuoe, demu akaingia kingi, akaitoa akaolewa, hiyo ni karibu miaka minne iliyopita, ndio nikaamua sitaki tena mke kwenye maisha yangu.
Hivi karibuni jamaa alienichukulia demu naona amezidisha chuki dhidi yangu, ananifanyia vioja kibao. Za chini ya kapeti zinasema kuwa kutokana na makosa ya kidaktari yaliyotokea wakati wa kutoa mimba, demu hawezi tena kushika mimba, jamaa anapanga kunibambikia kesi ya sembe, na jamaa Ana mkwanja mrefu, akiamua anaweza.

Nifanyeje?
 
Katoe taarifa polisi

Mwanamke kakunyang'anya, hela anazo, mimba iliyokuwa yako kaipiga chini. Sasa ana sababu gani ya kukufuata, kukutishia na kutaka kukukamatisha? kuna kitu umekificha hapa, useme tu unakula mke wa mtu ambaye alikuwa demu wako.
 
haya bana.. ngoja nijisomee haka kakichekesho kwanza!!

Mkeo na mama yako mzazi wana safiri pamoja kwa gari ulilo mnunulia mkeo bahati mbaya wanapata ajali mbaya na wote wanapelekwa hospital wakiwa mahututi.

Doctor anasema hawawezi kupona isipokua kama watabadirishana vichwa chamama kiende kwa mkeo na chamkeo kiende kwa mama.

Operation inafanyika na wanapona vizuri kabisa.

Umeenda kuwachukua hospital, je! nani utampeleka kwa baba na nani utamfanya mkeo?

haya sasa!!
 
Salaam wakuu, mimi ni Yule yule wa kanaida.

Huyu jamaa alinichukulia demu niliyekuwa nae kwenye uhusiano kwa miezi 18, alimdanganyadanganya na hela yake ya sembe, akamshawishi aitoe mimba yangu ili amuoe, demu akaingia kingi, akaitoa akaolewa, hiyo ni karibu miaka minne iliyopita, ndio nikaamua sitaki tena mke kwenye maisha yangu.
Hivi karibuni jamaa alienichukulia demu naona amezidisha chuki dhidi yangu, ananifanyia vioja kibao. Za chini ya kapeti zinasema kuwa kutokana na makosa ya kidaktari yaliyotokea wakati wa kutoa mimba, demu hawezi tena kushika mimba, jamaa anapanga kunibambikia kesi ya sembe, na jamaa Ana mkwanja mrefu, akiamua anaweza.

Nifanyeje?
Itabidi umtafute Don Corleone
 
haya bana.. ngoja nijisomee haka kakichekesho kwanza!!

Mkeo na mama yako mzazi wana safiri pamoja kwa gari ulilo mnunulia mkeo bahati mbaya wanapata ajali mbaya na wote wanapelekwa hospital wakiwa mahututi.

Doctor anasema hawawezi kupona isipokua kama watabadirishana vichwa chamama kiende kwa mkeo na chamkeo kiende kwa mama.

Operation inafanyika na wanapona vizuri kabisa.

Umeenda kuwachukua hospital, je! nani utampeleka kwa baba na nani utamfanya mkeo?

haya sasa!!

mkuu kweli hicho ni kisa,
Nimebaki nacheka tu
 
Back
Top Bottom