My ex boyfriend ananitaka tena

My ex boyfriend ananitaka tena

madam s

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
14
Reaction score
9
habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua yule rafk yangu ni muongo,na mimi nimefikia muda wa kuolewa nifanyeje na mchumba sijampata?
 
mwe huyo anataka kukumega tena....wee mpanulie tuu kwani tatizo lipo wapi ukizingatia tayari alishakuonjaga
 
Kampime kwanza ukimwi, na shosti wako kamwe usirudishe urafiki.

pia wanaweza endelea kulala wote. najua sababu huna mtu sasa utataka kurudi kwake ila kwanini? jiulize as inaonekana unampenda bado na ndo umeuliza humu. jiulize na alipokuacha ulikosa nini maishani ulim miss sana na hakutoki, unampendea nini etc. usije rudi ukajuta weeeeeeee

ila mie mmmhhhh nisingerudi kwake, tupe habari zaidi alipokuacha wewe alisema kasoro yako nini? saa zingine bora kuachia ngazi upate mwingine.
 
Rudi fasta, uyo amejua wewe ndo wewe
 
Jibu unalo mwanangu madam s kwani akishapata anachotaka atakwambia bila aibu kuwa nawe hufai kama rafiki yako. Kutopata mchumba kufikufanya uchumbiwe na nyoka na simba na fisi utakufa kwa miwaya wakati si wako mwanangu. Tumia common sense. Kama alikuacha kwa kumtamani rafiki yako ngoja amuone dada yako hata shangazi amtamani. Tanzania tuna makabila mengine machafu ambapo watu wanaweza hata kuwatamani wakwe zao. Pale karibu na mlima mrefu nadhani mnanipata au vipi?
 
madam s naona umeingia jukwaan kwa mbwembwe, wewe si uanalalamika kuwa watu hawakuPM sasa mbona unalaza damu. Mpe jamaa apige kitu.
 
habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua yule rafk yangu ni muongo,na mimi nimefikia muda wa kuolewa nifanyeje na mchumba sijampata?

Mahawara hawaachani kamwe mpo mbunye mwenzio akumbushie
 
pole dada ila mi nakutaka wewe badala ya kurudiana nae. nahis kwa jins alivyokufanyia utakuwa mwaminifu sana kwangu. weka namba yako au e-mail yako hapa ili nikutafute tuanze life mpya.
 
kwa hiyo unataka tukwambie umrudie?

Haya mrudie haalafu atembee na ndugumzako wote uone raha...
 
Japo hujasema una umri gani,naamini utampata mpenzi mwingine wa kukupenda kwa dhati. Ni hatari kubwa kurudi kwenye penzi la awali tena mby zaidi lilivunjika kwa 'inferdility'. Kimbia,achana naye la sivyo atakuumiza zaidi ya mwanzo.
 
kwa hiyo unataka tukwambie umrudie?

Haya mrudie haalafu atembee na ndugumzako wote uone raha...
 
Acha upuuzi wako dogooo, wewe mtu keshakuletea shazii alafu wataka KULAMBA MATAPISHI!!!!!!!!!! WHY!!!!!!!! Ndoa utapata tu, tuliza ball, mwenzio hapa mzee kama nini sijaolewa na nimejitulizaaa kama maji ya mtungi!!!!!! Na una guarantee gani kama MKIRUDIANA ATAKUOA!!!!!!!!

Huyo kaachwa sasa anahitaji sehemu ya KUPUNGUZIA STRESS, sasa wewe zubaa zubaa atakutenda tena. Usikimbilie ndoa mradi ndoa, kimbilia ndoa ya furahaaaaa!!!!! UPO HAPO!!!!!!!!!
 
Huyo kaka ni manyoyaa..kimbia! Hana msimamo na wala hajielewi..
 
Achana nae huyo, atakulete shombo tu, kama aliweza kukusaliti kwa rfk yako atashindwa vipi kukusaliti tena? Mungu atakupa mume mwema na mwaminifu kwa wakati wake, so tulia na endelea kumuomba
 
haaa...kumbe ni my..exboyfriend wkt mlishaachana..mtalaka hatongozw..km vp mwachie tu atingishe nyavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom