si kweli utumiaji wake wa data kuwa ni mkubwa bali wa wastani kutegemea na ubora wa picha mjongeo unaoutaka.Utachangia shilingi ngapi? Hilo dude linakula data kama supu umejiandaa?
Ww mhusika utaniambia tu nichangie kiasi gani, malengo yangu nipate tu channels za maisha magic na m net family ipate cha kuangaliaUtachangia shilingi ngapi? Hilo dude linakula data kama supu umejiandaa?
Boss unayo uniwezeshesi kweli utumiaji wake wa data kuwa ni mkubwa bali wa wastani kutegemea na ubora wa picha mjongeo unaoutaka.
bahati mbaya nilishamuunga jamaa yangu.Boss unayo uniwezeshe
Nipe na mimi kuunga sio mtu mmoja tu sheikhe ni wengibahati mbaya nilishamuunga jamaa yangu.
kwa king'amuzi kimoja unapewa connection za ziada mbili (jumla tatu i.e king'amuzi + vifaa vingine viwili) ambavyo kwa sasa vimejaaNipe na mimi kuunga sio mtu mmoja tu sheikhe ni wengi
Shukran kiongozikwa king'amuzi kimoja unapewa connection za ziada mbili (jumla tatu i.e king'amuzi + vifaa vingine viwili) ambavyo kwa sasa vimejaa