My Dream Woman

Usikate tamaa hata ukifikisha 50 yrs waweza kumpata mwenye vigezo hivi. Inabidi kuwe na sala maalumu ya kuombea vigezo kwa Mungu.
Unajua kwenye dunia ya sasa watu wengi sana wameharibika, hii inasababisha hata wale walio wema yamkini kujumlishwa katika wale walio wabaya. Lakini hata Mungu alipotaka kuiangamiza Sodoma na Gomora alisema hata angekuta wachache tu basi asingeangamiza, bahati mbaya alikuta mmoja tu. Naamini katika wale wenye vigezo hivi wapo wengi sana na zaidi wakawa na sifa nyingine za ziada
 
"If you haven't achieved your dream, don't wake up so you can keep dreaming" Navuta shuka.......

[bora kukkosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa/ kuolewa]
 

Vp kama anatokea mwenye vigezo vyote, kitu na box ila Mgumba uko tayari kuoa for the sake of fulfilling your dream.
 
Vp kama anatokea mwenye vigezo vyote, kitu na box ila Mgumba uko tayari kuoa for the sake of fulfilling your dream.

Tena bila shaka maana ugumba haupo kwenye vigezo nlivyotaja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…