My Dream Woman

Hahshahahah lol
Kwetu Manyara. My dear kila mtu ana dream kuhusu
Mpenzi wake awe vipi .. endelea kutafuta lakini not for too long.
Usije kuwa babu miaka 60 bado unasubiri tu .🙂
Hahahahaa huko Manyara kwenu nilikuwepo last year asee kuanzia kwa wasai, waarusha, wamang'ati, wairaq, wanguu, wagogo, wahunzi na wengineo weeengi afrodenzi
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa huko Manyara kwenu nilikuwepo last year asee kuanzia kwa wasai, waarusha, wamang'ati, wairaq, wanguu, wagogo, wahunzi na wengineo weeengi afrodenzi

Karibu tena
 
Last edited by a moderator:
muulize wiz khalifa ilikuaje akachepuka kwa amberose

anyways UNAONEKANA HUNA ELA ALAFU UNATAKA MWANAMKE ANAEHITAJI MATUNZO YA HALI YA JUU

GARI NZEUR UKIONA BARABARANI INATEMBEA JUA SERVICE NI MARA KWA MARA'

WEEE endelea kurembua tu na kuota kwenye daladala
usipochepuka wewe utagongewa mpaka
 
Hahahahaa yaani nimesoma hii post yako nikacheka kwa nguvu kweli yaani uuwiii! Jamani hebu rudieni kuzisoma hizo sifa nilizosema hapo juu wala sio za hao watu mnaowafikiria jamani. Nimesema najua jukumu langu la kumuhudumia ila sitaki mizinga ya kijinga ya eti "Bebi naomba laki tatu ya kusuka" hiyo ndio siitaki na kama mnahisi kwenye sura nimesema hivi awe na sura inayomuonyesha huyu ni mwanamke na sio mtu aangalie mara mbili
 
nashukuru umeongeza siku twende kwenye point..Una ngombe ngapi ikitokea ukanizimikia
 
Humu lazima upondwe sana due to number of reasons
Baadhi ni kuwa
-Wapo wadada humu wana sura za kazi(ugly)
-Wapo wanaume wanaoamini wanawake wazuri sio wakuweka ndani ni wa kufurahisha dushe tu na kuachana nao
-Kuhusu suala la mizinga ya kijinga(ni sawa na kumla kuku wa kienyeji bila shombo) nk
 
Hahahahaa nashukuru kwa kunisaidia kubeba kikombe hiki mkuu maana najua mashambulizi mengine yataelekezwa kwako
 
30 walioshiba

dammmn tatizo nakuofia wewe
1.inazekana mfupi kama mlimao
2.inaezekana unasura pana kama watu wa stone age
3.inaezekana ngombe za wizi(ushasema hela una)
4.inaezekana huna chochote zaidi ya ROHO YAKO
5.sina makalio makubwa.....bye
 
Kama ni urefu nimesema kwenye vigezo if you read between the lines. Ng'ombe sio wa wizi coz nimesema nina hela ila sio za mizinga ya kijinga, tatu kama huna makalio unakali nini?
 
Kama ni urefu nimesema kwenye vigezo if you read between the lines. Ng'ombe sio wa wizi coz nimesema nina hela ila sio za mizinga ya kijinga, tatu kama huna makalio unakali nini?

nimesema sina makalio makubwa SIJASEMA SINA

okey nahis vigexo sina umesema hspo juuu unataka mlima KITONGA
 
nimesema sina makalio makubwa SIJASEMA SINA

okey nahis vigexo sina umesema hspo juuu unataka mlima KITONGA

Haya we nikimbie tu huku unaona nna ng'ombe hapa
 
dah vigezo vidogo sana ivo kila mmoja anavyo wengine tumepitiliza hapo. vip niorozeshe vyangu nione dream kama zinaendana?
 
Yolo yoloooo,eti ukinenepa nakuacha.hayo si ndio masimango. Mfano kubeba ujauzito kunenepa hakuepukiki,....zaa wako atayebaki rigid forever

Kujiendekeza tu huko.
Mbona wazungu wengi wakishazaa hawanenepi?
Hata hapa bongo K-lyin hujamuona alivyo pamoja na Kuzaa mapacha?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…