My Dream Woman


Yolo yoloooo,eti ukinenepa nakuacha.hayo si ndio masimango. Mfano kubeba ujauzito kunenepa hakuepukiki,....zaa wako atayebaki rigid forever
 
Yolo yoloooo,eti ukinenepa nakuacha.hayo si ndio masimango. Mfano kubeba ujauzito kunenepa hakuepukiki,....zaa wako atayebaki rigid forever
Mbona Beyoncé hakunenepa tena ndio kazidi kuwa hoot!
 
Kuchepuka ni litabia la mtu tu, hata awe na mke wa ndoto zake kama za mtarajiwa wako
Kabla hujachepuka huwa kuna kitu kinaitwa "Second Thought" Hapo anaanza kuwaza mambo mengi kama vile, je huyu mtu anamzidi mume au mke wangu kitu gani? Je ist worth cheating with this person? So kama una your dream woman or man then unaweza kujikuta unapata opposition kubwa kwenye akili yako mwenyewe coz unaweza anza ona positive nyingi kwa uliye naye kuliko negatives na kuona negatives nyingi kwa mchepuko na kasha kuamua kuacahana na kuchepuka
 
Mbona Beyoncé hakunenepa tena ndio kazidi kuwa hoot!

Tofautisha wakati wa ujauzito na baada hicho kipindi lazima mwili ubalike na ikibidi mwingine awe na rangi nyeusi km mkaa,

Ukimwangalia Beyonce fahamu Baada ya kujifungua,kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudisha mwili kuwa kawaida name usiweze kujua km MTU ameshazaa.

We mwenzetu akinona tu utamwacha,kipindi hicho utachepuka??unless ujidanganye
 

Unene ninaoongelea hapa ni ule mtu anakuwa kama "Bimbilisamavi" lugha yetu ya utotoni hiyo lakini sio ule wa ujauzito ambao nitakuwa punguani kutaka mtu awe na ujauzito halafu abaki namba moja
 
Ok all the best umpate huyo atakaekidhi vigezo vyako

Sisi wakristo tunaamini kinywa huumba, na Mungu anakupa kadiri ya maombi yako jamani. Nataka hata mmoja aseme mimi ninazo lakini naona kama watu wanaogopa masharti wakati ni ya kawaida ila lile la "Mizinga ya kipuuzi" naona ndio linawakwaza watu
 

Mkuu, achana na dreams, amka kwenye reality upate mwanamke anayekufaa kulingana na wakati, hizi ndoto ndio husababisha watu kuoa viroja na vituko
 
afrodenzi we unazo zote ila tu Tanga kwenu naogopa kuvalishwa msuli mie

Hahshahahah lol
Kwetu Manyara. My dear kila mtu ana dream kuhusu
Mpenzi wake awe vipi .. endelea kutafuta lakini not for too long.
Usije kuwa babu miaka 60 bado unasubiri tu .🙂
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…